Prof Shivji: Nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba wa DP-World?

Baada ya hotuba ndefu nimenukuu haya machache kutoka kwa Prof Shivji juu ya nini kifanyike ili kujitoa kwenye mkataba huu wa kinyonyaji wa DP- World. naandika kama anavyo sema:-

"Kwa ujumla kwa kuhitimisha, mkataba huu sisi wanasheria tunauita honoracy provisions na tukikubaliana hivyo je kuna njia gani ya kujitoa kwenye mkataba huu? Hii sitorudia kusema kwa sababu the destiny ilikuwa ni bunge kuto ridhia mkataba huu lakini kwa sasa na kwa busara zake bunge limeona mkataba huu unafaa na limesha uridhia.

Njia ya pili imependekezwa na chama cha wanasheria na Mzee Warioba, aliposema kwamba tuurekebishe mkataba huu na tufute vipengele vinavyo lalamikiwa. Je njia hii inawezekana? (haiwezekani!) kwa mkataba huu mshirika wako ni lazima akubali ndipo marekebisho yafanyike.

Kama alivyosema Bwana Richard (mzungumzaji aliyetangulia.) kwamba kama mshirika ananufaika na kifungu hiki hatoweza kukubali kurekebisha. Na hata ukisema anakubali je mkataba huo sasa baada ya kurekebishwa utarudi tena bungeni? kwa sababu huo ulio rekebishwa utakuwa haukupitishwa na Bunge!

Jambo jingine nilisikia kwenye clip kutoka kwa Dr. Slaa akisema kwamba kuna muda wa mwaka mmoja kujitoa akinukuu ibara ya tano ya mkataba huu. Nafikiri amekosea tafsiri ya jinsi alivyosoma mkataba huu, ibara ya 5 inasema tu kwamba kama katika muda wa miezi 12 baada ya kusainiwa kwa mkataba na endapo kama hawajakubaliana kupitia project agreement na negotiation, serikali ya Tanzania itakuwa na uwezo wa kutafuta proporsal sehemu nyingine, haisemi kabisa kujiondoa.

Njia ya tatu ya kuingia mahakamani kama wenasheria wengine walivyofanya hapa kuna matatizo. Kama tunavyojua mahakama zetu zinachukua muda mrefu sana kufanya maamuzi, pale kesi itakapo kuja kusikilizwa muda utakuwa umepita na wahusika watakuwa wamesha saini project agreements, mahakama itashindwa kufanya maamuzi ya haki baada ya muda huo kupita na kwakuwa uamuzi wake kwa kipindi hicho hautakuwa na maana yeyote. Ndivyo watakavyo sema.

Njia mojawapo sijui kama wenzangu wamefikiria hiyo, kwenda kufile case na kuomba inaction ili kuzuia serikali kusign any proporsal about agreement mpaka pale kesi ya msingi iwe imeamuliwa, inategemea kiasigani wataweza kuwasilisha hoja zao lakini kisheria inawezekana hiyo. Swali ni je, utakapoingia mahakamani utakuwa unachallenge nini? Huwezi ukachallenge mkataba (IGA) bali utakuwa unachallenge azimio la bunge kwamba ni unconstitutional kwasababu limeridhia mkataba ambao ni unconstitutional. Kwahiyo azimio la bunge liwe ni unconstitutional kwa kuridhia mkataba ambao ni unconstitutional, I hope itakuwa vizuri.

Njia nyingine ambayo inawezekana kabisa, Mheshimiwa waziri mkuu amesema watafanya amendment lakini kama nilivyosema haiwezekani. Bunge laweza kupitisha azimio kurevorke azimio lake la kwanza na bunge lina mamlaka sovereignity power ya ku unvoke it's status. Wabunge wanaweza sema baada ya kusikiliza wananchi wetu tumeona kuwa azimio hilo halikuwa sahihi na tunalifuta inawezekana kabisa na kama azimio likifutwa hakuna rectification na kama hakuna rectification mkataba umefutwa, sasa njia hii pekee inawezekana.

Ni kwa kiasigani wananchi wataweza kuwashinikiza wabunge wao kuwalazimisha wakae tena bungeni warevorke azimio hilo na kufunga huo mjadala inategemea na uwamuzi wao wananchi. Kusema kweli bunge haliko chini ya Dubai hata sheria za kimataifa haziwezi kuli zuia ndio maana ya sovereignity of parliament kwa hivyo uamuzi wa Bunge utaheshimiwa.

Jambo la mwisho kama ninavyopenda kusema kuhusu mchakato mzima wa ubinafsishaji. Kila mara ubinafsishaji unahalalishwa kwa kusema kwamba sisi kama serikali hatukuwa na tija katika uendeshaji wa shirika hili, hiki ni kisingizio na kimetumika kubinafsisha mashirika yaliyokuwa yanaleta faida, nani anataka shirika linalotia hasara? Kuna sekta nyeti katika uchumi huwezi kuweka mikononi mwa watu na bandari ni sekta nyeti mojawapo, huwezi kuiweka mikononi mwa watu kwa sababu mbalimbali.

Mali yetu yote tuna export kupitia bandari, madini yetu yote yanapitia bandarini, mali yote tunayoleta kutoka nje yetu na ya wengine inapitia bandari na mali zenyewe ni sensitive. Sasa huwezi kuweka hiyo bandari mikononi mwa private company bila ya wewe kuwa na control na all say power hujui wataforward nini kupitisha ama watafaidika nini na huwezi kuzuia.

Kama kuna tatizo la ufanisi ni bora kuajiri management kutoka nje, ingawa itakuwa chini yetu kama vile Dubai wanavyoajiri watu kutoka nje kwani lazima ubinafsishe? Na hii sio ukodishaji kama watu wanavyosema ni ubinafsishaji kwa sababu unaweka control mikononi mwa private company bila ushindani kinyume na katiba ya nchi.

Kwa upande wangu mi naona kuna sekta nyeti za uchumi ambazo ni lazima zibaki mikononi mwa serikali na bandari ni moja wapo, fedha ni muhimu na nishati ni yatatu. Unaweza kubinafsisha hoteli au maduka lakini sio bandari wala sekta ya fedha, hata ukiruhusu mabenki binafsi lakini ni lazima uwe na commercial bank ya serikali ni lazima." Amesema Prof Shivji kwenye mjadala huo.

It may define the legacy of this time...tuendelee kuushabikia wakati kelele zinavuma kila siku
 
"" Njia pekee ambayo wananchi wataitumia katika kuzungumza au kujadiliana na watawala wao ambao ni madikteta ili kufikia muafaka wenye maslahi kwa pande zote mbili ni kwa KUPITIA MTUTU WA BUNDUKI".
By Jeff's O'Brien.
 
Samia ana kiburi kuliko Magufuli.

Halafu watu hawajajua bado.
 
Samia ana kiburi kuliko Magufuli.

Halafu watu hawajajua bado.
Mkuu umekwenda mbali sana. Magufuli hana mfano wake kwa kiburi. Naamini Samia atabadili baadhi ya vipengele kwa kushauriana na watu wa Dubai.

Kinyume cha hapo naye akitoka madarakani, watu watapindua maamuzi yake kama yeye alivyopindua ya mwendazake
 
njia ni moja tu kama Prof wa ukweli wa sheria alivyosema , tuwashinikize wabunge wetu warudi ku revoke huo mkataba wa kilaghai.
Bunge wameahirisha jana hadi August 21, je tutawashinikiza vipi?
 
Ujitoe na Nani we boya. Wananchi kupitia Bunge tumeridhia kila sentensi kwenye mkataba. Asanteni Waheshimiwa Wabunge Kwa umoja wenu
Boya ni mama yako malaya aliyekuzaa bila kujuwa baba yako halisi. Ukaishia kukariri matusi tu maana ndiyo lugha anayoongea malaya
 
Hivi hii mikataba Huwa inaandaliwa na mwekezaji then mbinafsishaji ndio anapewa ausome akubaliane nao au akatae au Huwa inaandaliwa na pande zote mbili kwa pamoja au mbinafsishaji ndiye Huwa anaandaa mkataba then mwekezaji anapewa ausome then akubaliane nao au akatae? Tuanzie hapa kwanza
 
Tuliza mshono. Kila kitu tayari hizo kelele zako kapigie chooni
 
Boya ni mama yako malaya aliyekuzaa bila kujuwa baba yako halisi. Ukaishia kukariri matusi tu maana ndiyo lugha anayoongea malaya
Kila kitu tayari haya maandamano yenu uchwara yamefikia wapi?
 
kikwete ni jizi, fisadi, dalali wa rasilimali zetu, mtu asiefaa kwa lolote!

alianza akiwa waziri wa madini
Ah, ngoja tuwapuuze tu maana hayo matatizo yenu ya makalio mliyonayo dhidi ya jk yanatuchosha sasa!
 
Sababu kubwa ya Bandari yetu(zetu) kugawawiwa na wala siyo kuuzwa ninkugawa bure ni Kongo, na hilo liko juu ya Viongozi wote wa Tanzania, wanaochukuwa mali za Kongo wanaopiganisha Vita Kongo ili waibe rasilimali ndiyo wanaochukuwa pia Bandari zetu, muda utaongea na ndiyo hakuna kitu tutafanya, zimeshaenda hizo, sababu ni mali za Kongo na Serikali haitahusika na kitakachopita Bandarini ili isijulikane Mali zaKongo zinaenda wapi. Serikali haitajua nini kinaingia na kipi kinatoka.
Kwa kifupi kilichofanyika ni kama karne iliyopita foreign army wangetuvamia na ku seize Bandari yetu na kuweka military post kuirun Bandari kwa manufaa yao ila leo karne ya 21 hilo haliwezekani moja kwa moja wanatumia mbinu nyingine lkn matokeo ni yale yale.

Unafikiri timing ya Bandari kavu Kigali imetokea tu? Unganishaleni dots mtafika tu kwa mwenyewe, …
Tena alisema apewe tuu Bandari
 
Mkuu umekwenda mbali sana. Magufuli hana mfano wake kwa kiburi. Naamini Samia atabadili baadhi ya vipengele kwa kushauriana na watu wa Dubai.

Kinyume cha hapo naye akitoka madarakani, watu watapindua maamuzi yake kama yeye alivyopindua ya mwendazake
Unathibitisha maneno yangu kwamba "halafu watu hawajajua bado".
 
Kumbe nchi hii ina watu wenye akili kiasi na hawapo kwenye mfumo!!!

Cha ajabu watampuza
 
Yaani unawaita washauri wa Rais kuwa ni chawa ?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Umevuka mipaka.....

#SiempreJMT[emoji120]
Kama waliona akina mwijaku,kitenge,na wengine ndio wana ushawishi basi wamemfelisha pakubwa sana
 
Hivi hii mikataba Huwa inaandaliwa na mwekezaji then mbinafsishaji ndio anapewa ausome akubaliane nao au akatae au Huwa inaandaliwa na pande zote mbili kwa pamoja au mbinafsishaji ndiye Huwa anaandaa mkataba then mwekezaji anapewa ausome then akubaliane nao au akatae? Tuanzie hapa kwanza
Hilo swali hata mimi nimejiuliza.
 
Lakini TPA ndio wamesababisha hili suala, hakuna ufanisi kiasi imetumika kama loophole kubinafsishwa. Na sio TPA angalia ATCL, TRA, TTCL kote huko ufanisi ni zero kabisa sijui taasisi zetu Zina shida gani. Ifike kipindi ajira za utumishi ziwe na KPI mtu asipofikia lengo automatically afukuzwe kazi au awe demoted bila hivyo watu ni business as usual maana wanajua hakuna wa kuwagusa.
Ufanisi mbovu ni zao la kukosa uwajibikaji na kiongozi mkuu wa nchi hana nia ya kuwawajibisha wale wanao kiuka.
 
Ujinga huo.....

Kwa hiyo uwepo wa TICTS miaka 22 uliwaimarisha Al Shabab?!!![emoji15][emoji15][emoji1787]

Dubai si "Somalia"....wapi na wapi na Al Shabab....

Kweli Al Shabab walilipua michuano ya kombe la dunia kule Qatar kwa waarabu [emoji1787]

Shule mnakwenda kusomea upumbavu?!![emoji1787]
Ukuwadi ni mbaya sana hasa ukiwa kuwadi wa maliasili za taifa lako.
 
Back
Top Bottom