johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Tatizo hapo Chadema Mzee mliyebaki naye ni Benson pekee naye mkewe yuko na akina Zungu bungeniSi waanzishe vyao?
Blabla analysis
Tunbawaheshim sana hawa watu, lakini maneno hayatutoi hapa tulipo..
Benson mwenyewe ni kilaza aliyezeeka. Anadai haoni tatizo kutokuwepo na ukomo wa mtu kuongoza.Tatizo hapo Chadema Mzee mliyebaki naye ni Benson pekee naye mkewe yuko na akina Zungu bungeni
Kwahiyo kisima Cha Hekima hadi muende Kwa akina Shoo ππΌ
actually,Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani
Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK
Source: Chanzo tv
Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani π
Unaijua renamo? πππactually,
ndiyo maana imekua rahisi kwa vibaraka wa mabenyenye ya magharibi kujipenyeza kirahisi na kuanza kuwavuruga π
Kibaraka ni mamayenu anayezurura kuombeleza Kwa mabeberu misaada au hujui na kama hujui kamuulize mamayenu huko lumumbaactually,
ndiyo maana imekua rahisi kwa vibaraka wa mabenyenye ya magharibi kujipenyeza kirahisi na kuanza kuwavuruga π
Kashangilie ushindi wenu fake wa asilimia 99Prof.Shivji anahaki ya kusema hivyo, CHADEMA tulichokuwa tukikitarajia kimekuwa hakina tofauti na hiyo CCM.
RUSHWA UKABILA na USULTANI.
SAUTI YA WATANZANIA kinakuja Dr.Slaa,Lissu Mwabukusi,Mdude na wengine wengi Gen Z.
Kashangilie ushindi wa Sultani Mbowe na Saccos yake.Kashangilie ushindi wenu fake wa asilimia 99
relax na ukikite kwenye umahususi wa hoja yenyewe gentleman, hakuna haja ya kubabaikaKibaraka ni mamayenu anayezurura kuombeleza Kwa mabeberu misaada au hujui na kama hujui kamuulize mamayenu huko lumumba
Prof.Issa Shivji sio Baniani, ni Ismailia Shia.Huyo Baniani aende zake huko akale chaulo na bajia ! Hana lolote ! Kazi yake kudandia dandia tu !
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani
Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK
Chanzo: Chanzo tv
Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani
Unaijua renamo? πππ
Ndio sababu Viongozi wengi wa Chadema wamesoma pale Diplomasia Kurasini akina Jasusi Yeriko Nyerere πππGenteman,
naifahamu kidogo..
si hii Resistencia Nacional Mocambicano ya hapo Mozambique kwa akina Mzee Joaquim Alberto Chissano?
ambapo hata chimbuko na msingi wake ulitokea chuo kikuu cha mashujaa wa africa, ambapo sasa hivi kinaitwa Chuo Cha Diplomasia hapo kurasini Dar Salama ambapo nimesoma halafu nikafundisha pia, right?
hata hivyo awali,
chuo hicho kiliitwa The Mozambique-Tanzania Center for foreign Relations kabla ya kubadilishwa jina na kuitwa Center For Foreign Relations hivi sasa..
actualy,
mabwenyenye ya kireno wamepenyeza vibaraka wao na kijaribu kuidhoofisha RENAMO kama ambavyo mabwenyenye ya magharibi yanavyo mpushi kibaraka wao humu nchini, kuibomoa na kuivuruga chadema,
au nasema urongo ndrugu zangu?
Ulimwengu anesema hamuwezi kuiondoa CCM Kisiasa bali kiharakati na Kwa Bahati mbaya Tanzania Hakunaga wanaharakatiShivji yuko sahihi maana ccm haiko madarakani kwa njia za kisiasa, bali iko kwa mabavu ya vyombo vya dola, wakati wapinzani bado wanatumia njia za kisiasa kutaka kuitoa ccm.
Hamna kitu, wamesoma upepo wa faida ya kusema walivyosema.Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani
Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK
Chanzo: Chanzo tv
Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani π