Pre GE2025 Prof. Shivji: Tanzania haina Chama Cha kuitoa CCM madarakani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani

Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK

Chanzo: Chanzo tv

Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani 😄
 
Prof.Shivji ana haki ya kusema hivyo, CHADEMA tulichokuwa tukikitarajia kimekuwa hakina tofauti na hiyo CCM.
RUSHWA UKABILA na USULTANI.

SAUTI YA WATANZANIA kinakuja, Dr.Slaa,Lissu Mwabukusi,Mdude Sativa na wengine wengi, Gen Z. Huo ndio msafara wa Mamba hakuna Kenge yeyote atakaeruhusiwa.
 
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani

Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK

Source: Chanzo tv

Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani 😄
actually,
ndiyo maana imekua rahisi kwa vibaraka wa mabenyenye ya magharibi kujipenyeza kirahisi na kuanza kuwavuruga 🐒
 
Huyo Baniani aende zake huko akale chaulo na bajia ! Hana lolote ! Kazi yake kudandia dandia tu !
 
actually,
ndiyo maana imekua rahisi kwa vibaraka wa mabenyenye ya magharibi kujipenyeza kirahisi na kuanza kuwavuruga 🐒
Kibaraka ni mamayenu anayezurura kuombeleza Kwa mabeberu misaada au hujui na kama hujui kamuulize mamayenu huko lumumba
 
Prof.Shivji anahaki ya kusema hivyo, CHADEMA tulichokuwa tukikitarajia kimekuwa hakina tofauti na hiyo CCM.
RUSHWA UKABILA na USULTANI.

SAUTI YA WATANZANIA kinakuja Dr.Slaa,Lissu Mwabukusi,Mdude na wengine wengi Gen Z.
Kashangilie ushindi wenu fake wa asilimia 99
 
Kibaraka ni mamayenu anayezurura kuombeleza Kwa mabeberu misaada au hujui na kama hujui kamuulize mamayenu huko lumumba
relax na ukikite kwenye umahususi wa hoja yenyewe gentleman, hakuna haja ya kubabaika :pulpTRAVOLTA:
 
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani

Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK

Chanzo: Chanzo tv

Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani

Nikweli kwasasa hakuna ni kelele tu, na masilahi binafsi, hata hivyo uchaguzi wenyewe ni wa kwenda hadi maporini kwa chama dola pamoja na vyombo vyake
 
Unaijua renamo? 😂😂😂

Genteman,
naifahamu kidogo..

si hii Resistencia Nacional Mocambicano ya hapo Mozambique kwa akina Mzee Joaquim Alberto Chissano?

ambapo hata chimbuko na msingi wake ulitokea chuo kikuu cha mashujaa wa africa, ambapo sasa hivi kinaitwa Chuo Cha Diplomasia hapo kurasini Dar Salama ambapo nimesoma halafu nikafundisha pia, right?

hata hivyo awali,
chuo hicho kiliitwa The Mozambique-Tanzania Center for foreign Relations kabla ya kubadilishwa jina na kuitwa Center For Foreign Relations hivi sasa..

actualy,
mabwenyenye ya kireno wamepenyeza vibaraka wao na kijaribu kuidhoofisha RENAMO kama ambavyo mabwenyenye ya magharibi yanavyo mpushi kibaraka wao humu nchini, kuibomoa na kuivuruga chadema,

au nasema urongo ndrugu zangu? :pedroP:
 
Shivji yuko sahihi maana ccm haiko madarakani kwa njia za kisiasa, bali iko kwa mabavu ya vyombo vya dola, wakati wapinzani bado wanatumia njia za kisiasa kutaka kuitoa ccm.
 
Ndio sababu Viongozi wengi wa Chadema wamesoma pale Diplomasia Kurasini akina Jasusi Yeriko Nyerere 😂😂😂
 
Shivji yuko sahihi maana ccm haiko madarakani kwa njia za kisiasa, bali iko kwa mabavu ya vyombo vya dola, wakati wapinzani bado wanatumia njia za kisiasa kutaka kuitoa ccm.
Ulimwengu anesema hamuwezi kuiondoa CCM Kisiasa bali kiharakati na Kwa Bahati mbaya Tanzania Hakunaga wanaharakati
 
Prof Issa Shivji anesema hana Imani na vyama vya Upinzani Kwa sababu siyo mbadala wa CCM na havina Uwezo wala morali wa kuitoa CCM Madarakani

Naye Generali Ulimwengu amemuunga mkono Kwa kusema Chadema Wenyewe Mfumo wa uumbwaji Wao ni kama rafiki zao wa RENAMO n Conservative Cha UK

Chanzo: Chanzo tv

Ngoja nitafiti RENAMO iliasisiwa na nani na Kwa malengo gani 😄
Hamna kitu, wamesoma upepo wa faida ya kusema walivyosema.
 
Back
Top Bottom