Nchi hii ina Vilaza wachache sana wewe nae ni Miongoni mwao ulitaka aapishwe lini Bwashee???????Yaani Ndungai hafanyi kazi kama spika bali kama moja wa wateule wa Magufuli anaeogopa kutumbuliwa, mtu ameteuliwa usiku asubuhi ameshaamka Kumuapisha ni kama analala na simu kichwani na kapandisha volume hadi mwisho ili bosi wake akimwamrisha hata saa tisa amkute yupo macho.
Yaani unatukana watu kesho utawaona Makamanda wamevaa khaki wakiomba kura ugogoni wakiongozwa na shetani Mkuu aliyeko Ubelgiji kuliombea mabaya TaifaWagogo ni watu wa hovyo sana ndiyo maana wengi ni masikini wa kutupwa, huyo anaonyesha udhaifu wake kwa jiwe bila kificho.
Wala usiumize kichwa, chama chake cha siasa kinakuwa kile cha yule aliyemtea... rejea Prof Kabudi, Mkumbo, Mpango, Ummy, Tulia n.k huonì baadae walienda kugombea majimboni kwa tiketi ya chama cha aliyewateua?Hivi wabunge wa kuteuliwa na Mheshimiwa Rais hawabanwi na kipengele cha kuwa wanachama cha chama cha siasa?
Amandla...
hongera sana DR Manya Mungu akutangulie katika majukumu yako,
Kabla hujani quote kwanza kakae na mamako akufundishe adabuNchi hii ina Vilaza wachache Sana ww nae ni Miongoni mwao ulitaka aapishwe lini Bwashee???????
Ni faster kabla Kigugumizi na mwezie kigizagiza na wenzao kiwhijiwhiji hawajafika chamwino. Ndo kwanza saa hii wamepanda jahazi kutoka ukereweAteuliwe jana leo tayari anaapishwa kweli?
Hatari tupuNi faster kabla Kigugumizi na mwezie kigizagiza na wenzao kiwhijiwhiji hawajafika chamwino. Ndo kwanza saa hii wamepanda jahazi kutoka ukerewe
Tumewatukana au tunasema ukweli mkuu!Yaani unatukana watu kesho utawaona Makamanda wamevaa khaki wakiomba kura ugogoni wakiongozwa na shetani Mkuu aliyeko Ubelgiji kuliombea mabaya Taifa
TeteteteSuala la kufuta upinzani mkawaulize wananchi mbona hamuelewi
Mbunge alieteuliwa na Rais Magufuli mapema leo tayari amekula kiapo mbele ya spika Ndugai kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Prof. Manya anatarajia kuapa tena baadae leo kuwa naibu waziri wa Nishati na madini.
Baada ya kuapa kama Mbunge, Prof. Manya alitoa neno la shukraan
Prof. Manya: Kwanza kabisa napenda kumshukuru mwenyezi Mungu ambae yeye ndie hupanga majira na nyakati katika maisha ya wanadamu. Nasema hivyo kwa sababu Ijumaa inakuwa safari yangu ya mwanzo mpya ambao sikupanga mimi, majaliwa ya Mwenyezi Mungu.
Pili nipende kumshukuru mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. John Pombe Joseph Magufuli kwa heshma aliyonipa ya kuniteua kuwa mbunge wa Bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania, ninapenda tu kusema kwamba, nitafanya majukumu yangu ya ubunge kwa uadilifu ili kwamba kwa pamoja tuweze kulisukuma gurudumu la maendeleo la nchi yetu na Taifa letu na tukimtanguliza Mwenyezi Mungu, asanteni sana.
SPIKA JOB NDUGAI: Kama nilivyoeleza mapema, sisi kama Bunge hatupendi kuwa kikwazo, lazima tuendane na serikali yetu na spidi ya awamu ya tano na ndio maana tukayafanya mambo tukikimbia pamoja. Nitoe wito kwa wabunge wengine wowote wale, nafikiri kumbukumbu zangu zinaonyesha tuna wabunge wa ACT-Wazalendo wanne ambao bado hawajaapa, napenda kutoa wito wakiwa tayari kutumikia nchi yao kama kweli waliomba ubunge kutumikia wananchi hawana sababu za kuendelea kuzurula huko waliko.
Watoe taarifa kwa spika haraka, tuwapangie ili wapate kiapo waweze kufanya kazi ya mbunge kama ambavyo wananchi waliwaamini, nadhani ni
watatu.
Kwani shida nini hapo? Unapenda zile sentensi "tupo kwenye mchakato"Yaani Ndungai hafanyi kazi kama spika bali kama moja wa wateule wa Magufuli anaeogopa kutumbuliwa, mtu ameteuliwa usiku asubuhi ameshaamka Kumuapisha ni kama analala na simu kichwani na kapandisha volume hadi mwisho ili bosi wake akimwamrisha hata saa tisa amkute yupo macho.
Acha kuumiza kichwa.Hivi hali ya Ndulane na mkewe ikoje huko kilwa?
Tusije kuona bandiko la "TANZIA" hapa!
magu hana kamati ya ufundi yeye ndo kamati wengine ni kutimiza wajibu na corum tu na serikali yote inalijua hilo na hakuna wa kumhojiHongera kwake na kamati yake ya ufundi. Hakika kama ipo, ipo tu!! Sasa achape kazi na ajipange kuapa asije akawa kama mtangulizi wake
#so sorry mr ndulane😑
unaelewa maana ya "kamati ya ufundi" au umejisikia tu kucheua pumba zako hapa???🤔magu hana kamati ya ufundi yeye ndo kamati wengine ni kutimiza wajibu na corum tu na serikali yote inalijua hilo na hakuna wa kumhoji
Huyo kofuri akiambiwa kuapa kwa Kiingereza (kwa mfano🤣) atachemsha kama huyo aliyeshindwa! Amemuonea, kwanza kumuaibisha mbele za watu, halafu kumnyima cheo! Bure kabisa!KUNA WATU WENGINE KUONGEA MBELE YA KADAMNASI NI SHIDA ILA HIYO HAIWEZI MFANYA KUTOKUTIMIZA VEMA MAJUKUMU YAKE.
Kwa hapa sioni sababu ya kumnyima kazi yule mwamba japo alishindwa kuapa
Wananchi ndio sisi, au unadhani kuna misukule imefungiwa Lumumba ndii inaitwa wananchi?Suala la kufuta upinzani mkawaulize wananchi mbona hamuelewi