Mkuu wala hawaogopi mtaa wowote, kwani hata mikutano wanaitisha kwa kupenda. Bila machafuko tusitegemee wajali lolote.Tunawasubiri majimboni.....mlakiwe kwa Shangwee...
Ana hojaProfesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
View attachment 2655023
Kama Wewe hujui ni wewe tu, wengine Tunajua kabisa kabisa, kama huamini ulizia UVCCM.Kama Profesa yupo gizani, siye kina Mbonde ndio kabisaa hakuna hata tulijuwalo.
Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
Ahsante mama Tibaijuka Kwa kuuliza swali kupitia majukwaa ya wazi ili tupate uelewa wa pamoja japo ulikuwa na uwezo wa kuuliza kimyakimya!Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
View attachment 2655023
Hatuna spika.Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?
View attachment 2655023
Kwa kawaida ushuzi huwa unatokea tumboni, speaker ni kijambio tu.Hatuna spika.
Hizo ni maiti, mnapata wapi muda kuzifuatilia hizo maiti zinazopumuwa?Kama Wewe hujui ni wewe tu, wengine Tunajua kabisa kabisa, kama huamini ulizia UVCCM.