Prof Tibaijuka amhoji Spika. Ataka kujua Je Bunge ndo limeridhia Mkataba wa Bandari na imeisha hiyo au kuna maboresho yoyote katika mkataba wa msingi?

Tunawasubiri majimboni.....mlakiwe kwa Shangwee...
Mkuu wala hawaogopi mtaa wowote, kwani hata mikutano wanaitisha kwa kupenda. Bila machafuko tusitegemee wajali lolote.
 
Profesa Ana Tibaijuka amemhoji Spika Tulia kutaka kujua kuwa Je Bunge ndo limeridhia huo mkataba wa awali (Mkataba Mama) bila marekebisho au limepitisha lakini Subjected kwa serikali kwenda Kurekebisha kasoro zilizofahamika?

View attachment 2655023
Ahsante mama Tibaijuka Kwa kuuliza swali kupitia majukwaa ya wazi ili tupate uelewa wa pamoja japo ulikuwa na uwezo wa kuuliza kimyakimya!
 
Kama Wewe hujui ni wewe tu, wengine Tunajua kabisa kabisa, kama huamini ulizia UVCCM.
Hizo ni maiti, mnapata wapi muda kuzifuatilia hizo maiti zinazopumuwa?

Mkataba ukivunjwa hizo maiti zitapongeza na kuandaa maandano ya kumpongeza Rais.

Hao ni kama sigara Kali tu popote inawaka.
 
Yani prof aliyekamilika haelewi mkataba sisi mapopoma ndo tutaelewa kweli wewe nape na kundi lako!?
 
Back
Top Bottom