Walioomba ipewe hadhi ya mkoa ni watu wenye umri mkubwa wanaojua wanaongea nini na kwa nini.
Wanataka warundi wawe na mkoa wao,nao ni wachache,taifa lilifanya makosa sana kumpitisha yule mshezi kuwa rais wa nchhi hii!!alituletea tabia za unyama na ubaguzi hakika hakuwa mtanzania yule.
 
Alikuwa wapi siku zote hizo? Tuache unafki kujifanya mnajua wakati JPM kafa
 
Tunaomba orodha ya sifa zinazotakiwa kwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kufuzu kuitwa mkoa. Tukizipata hizo sifa itaturahisishia kujua kama Chato inakidhi vigezo kwa sasa ama la!
Ofcoz, YES...vigezo viwekwe hapa

Lakini all in all, wanavijua lakini havipo...

Na kutaka tu iwe mkoa, wanaanza kufikiri kuchukua baadhi ya maeneo/wilaya za mikoa ya Kagera & Kigoma ili mradi tu Chato iwe mkoa...

Ila ukweli ni kuwa, Geita hai - qualify kugawanywa kuwa mikoa miwili at least for now, and, may be forever...!

After all ni mkoa mpya wa juzi tu uliomegwa toka Mwanza baada ya Mwanza kuonekana kuwa kubwa sana administratively...

Hawa wanataka kupewa mkoa not because they deserve and qualify...

But they want it just for the sake of what they call "preserving Magufuli's legacy"...

Thinking this way, it's purely stupidity...!!
 
Na mama yenu atataka kuonekana yuko pamoja na mwendazake, basi atautangaza kuwa ni mkoa wakienda kuzima Mwenge. Ali mradi ni muendelezo wa siasa za kutaka kupigiwa makofi - mambo shaghala baghala [emoji20]. Tuna kazi sana. Hawa jamaa hawana huruma na kodi zetu kabisa.
 
Zile bilioni za mboga vipi?!🤒🤒🤒
 
Tunaomba orodha ya sifa zinazotakiwa kwa sehemu ya Jamhuri ya Muungano Tanzania kufuzu kuitwa mkoa. Tukizipata hizo sifa itaturahisishia kujua kama Chato inakidhi vigezo kwa sasa ama la!
Kimojawapo ni idadi ya watu, mapato, viwanda, vingine unaweza kulazimisha kama huduma za afya, usalama, benk, miundombinu ya barabara nk
 
Wanataka warundi wawe na mkoa wao,nao ni wachache,taifa lilifanya makosa sana kumpitisha yule mshezi kuwa rais wa nchhi hii!!alituletea tabia za unyama na ubaguzi hakika hakuwa mtanzania yule.
Warundi..mshenzi....kijana punguza ubaguzi wa kipumbavu Ndio utoe maoni yako.

Aliyekwambia wewe mtanzania ni nani?.
 
Niko bega kwa bega na prof Tibaijuka,tuseme hivi ni hujuma kwa Kagera Bukoba, hamkeni wana Kagera
 
Mabadiliko gani?!!uyo mrundi wenu marehemu ndio aliwadanganya hivyo?!!haitatokea Nchi kufanya makosa mengine ya kuwapa warundi madaraka fckn kabisa
Siri ya mtoto anaijua mama mzazi. Unao uhakika mama yako hakumdanganya baba yako kwamba wewe ni mtoto wake?.
 
Umr mkubwa ndyo nn???mbna wezi wte nchi hii wana umr mkubwa tena na elimu zao vp au umezaliwa juzi???
Wewe ndio umezaliwa juzi. Rais Samia alifikishiwa ujumbe wa Chato kuwa mkoa siku ya mazishi kule kule msibani. Ombi liliwakilishwa na wazee wa Chato.
 
Madiwani wana uwezo, Mimi na wewe hatuna uwezo.
 
Haka ka mama pamoja na nafasu zake nyingi hakuna cha maana kamewahi kufanya
 
Daah ama kweli udikt.eta ni mbaya sana, haya yooote waliyajua ila wakachagua kukaa kimya kulinda vibarua na matumbo yao. walikubali mauozo mangapi na yakafanyika kwa kodi ya walioitwa wanyonge?
Daah ama kweli udikt.eta ni mbaya sana, haya yooote waliyajua ila wakachagua kukaa kimya kulinda vibarua na matumbo yao. walikubali mauozo mangapi na yakafanyika kwa kodi ya walioitwa wanyonge?
 
Yoda nimepewa hizi.
 
Tabora ina eneo la mraba 76,151 km

Rukwa eneo la mraba 75,250 km

Morogoro eneo la mraba 73,139 km

Lindi eneo la mraba 67, 000 km

Ruvuma eneo la mraba 66,477 km

GEITA INA ENEO LA MRABA 19, 592 KM NA NDIO UNATAKIWA KUGAWANYWA... TAFAKARI CHUKUA HATU
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…