gallow bird
JF-Expert Member
- Aug 10, 2024
- 14,889
- 18,593
Haihalalishi kudai wahaya Wana IQ kubwa tz,nimesoma na wahaya msingi hadi chuo na hakuna aliyekua akinizidiEnzi za mkoloni, nchi zote 5 za East Africa zilizokuwa chini ya Uingereza zilifanya mitihani mmoja wa Cambridge ulitungwa Uingereza, Wamalawi ndio waliongoza, wakifuatiwa na Waganda, Wakenya, Tanzania, Zambia, Zanzibar walishika mkia.
Baada ya uhuru, tukaanza kutunga mitihani yetu, Wahaya waliongoza, wakafuatiwa na Wachagga, Wanyakysa.
Kuna baadhi ya makabila hawakupasi hata mmoja. Ndipo Nyerere akaamua ku set different cut of points, Bukoba it was 90 Moshi 80, Mbeya 70, Pwani 40,
Makabila primitive 00, serikali ikawamata kwa nguvu Hadza na kuwasomesha kwa kuwafungia. Wote walifeli darasa la 7, ikawachukua 4 na kuwasomesha Pugu mpaka form 4, wote walipata 0, wakawanubulia nguo na vifaa vya kisasa, wakawarudisha kijijini ili kusaidia wenzao, after one week wakaja kuwatembelea, vitu vyote walivyowapa, wakavikuta pale pale, kitu cha ajabu, hata wale 4 waliosoma, zile nguo zao walivua na kuziacha pale!, walipoulizwa wakasema wenzao walitaka kuwaua!.
P
Hiyo sample spacing ni poor