mangikule
JF-Expert Member
- Jun 11, 2012
- 6,468
- 6,022
Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
View: https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
Unafanya makosa kulinganisha mlima na shimo!
Kamzidi kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
View: https://youtu.be/pMynZNjFjf4?si=lC5nosA3JhoG4xny
Kwanza usimuite Rais wetu Rais fake!. GE2025 - Fact: Samia ndiye Rais wa JMT!, Uwe ulimchagua, hukumchagua, hukupiga Kura, uko Tanzania au Ughaibuni, unamtambua, humtambui, SSH ndiye Rais wako!
Pili hata kama porofesa kamzidi kwa akili na kila kitu, yeye ndiye Rais, Rais wa TZ ndiye kila kitu!. Je, wajua kuwa Rais wa JMT ndie Serikali, Bunge na Mahakama? Yuko juu ya Mihimili yote 3. Je, kuna uwezekano Rais wa JMT pia yuko juu Katiba?
Mwisho, mtu akiishakuwa rais, usimfananishe na mtu yoyote!.
Niliwahi kuandika kitu humu kuhusu IQ za makabila Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake? Kabila la Wahaya ndio the top IQ in Tanzania, ukanda wa Pwani including Zanzibar, Pemba na Mafia ni average IQ, na primitive tribes kama Hadza, Wataturu, Barbaig, Watindiga ndio the lowest!
Hakuna Ubishi kuhusu IQ ya hao wawili, sio busara kulinganisha mbingu na nchi!.
Acha hizo!. Niliwahi kuzungumzia IQ za Zanzibar Inawezekana Vipi Zanzibar Kuna Div I, Div II, na Div III Chache, Ila Div IV na Div Zero Nyingi?!.
Pia nilizungumzia IQ Je, kuna tofauti ya IQ za Watanzania kutokana na dini zao? Kuna dini wanapasi sana, wanafeli sana, huwa wanabaguliwa na kudhulumiwa?
P
Nimefurahi sana! Any way, pamoja na kukosa Exposure kama unavyoieleza, lakini wanakigamboni walilielewa hilo.Haya ni matokeo ya ukosefu wa exposure na long term vision. Ile Kigamboni city ingefanikiwa, Dar ingekuwa super kama New York!,hizo
nyumba za wazazi wako na kanyumba kako pendwa vyote vingegeuzwa maghorofa ya pembeni ya bahari kama Miami Beach ama Acapulco Bay!
P
Kisheria kuna kitu ni void na voidable, hata kwenye ndoa kuna void marriage na voidable,Yeye ndiye Raisi fake, kapatikana kwa tume fake, kura fake na inawezekana alikuwa mgombea fake!!!.
Kisheria kuna kitu ni void na voidable, hata kwenye ndoa kuna void marriage na voidable,
Void ndio batili, ambayo ni void ab initial, lakini voidable inarekebishika na kuwa legal
Ni kweli INEC ni voidable, hivyo the election is a voidable election, ila kura was true votes plus kura za bao la mkono, hivyo matokeo nayo ni voidable results, kitendo cha voidable INEC kumtangaza mshindi, kisha mshindi huyo akaapishwa, tangazo hilo linahalalisha kila kilichofanyika kupitia kanuni ya the end justify the means, hivyo baada ya kuapishwa ni rais halali.
Ni uchaguzi wa ubakaji wa demokrasia, kama ilivyo mwanamke tasa akibakwa akashika ujauzito kutokana na ubakaji huo, akampenda mbakaji, akajipeleka kwa mbakaji, wakaoana, mtoto akazaliwa ndani ya ndoa, mtoto huyo ni halali, na ile ndoa imefuta kosa la ubakaji. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!
P
Nakataa,tena watu wa pwani ni very high IQ ni vile hawakuwa well exposed na elimu,hata leo shule za pwani hazina rasilimali elimu kama Arusha, Kilimanjaro na uhayani,hii ilikua kusudiMkuu Galo, gallow bird , japo kiukweli Wahaya ndio vipanga maeneo mengi, hata huku kwenye tasnia ya Habari, ila pia kuna Wahaya wengine nao ni vilaza tuu kama akina sisi, na kuna makabila ya vilaza, kunatokea watoto gifted wanakuwa ni vipanga balaa!
Mimi primary nilikuwa kipanga wa hesabu, darasa la 6, 1st term, kuna kadada ka Kihaya kakanipita!, kwanza niliumia, ngosha chapa ng'ombe kupitwa na kademu!.
Nikawa kama nakachukia, 2nd term kakanipita tena!. Darasa la 7, ndio those turbulent teens age, kadada mwili unafutuka, dodo zinachomoza figure inasimama, nikaanza kukazimikia, nikakatokea, kakanipiga chini!, mock kakanipita kwmbali!, nikabaki na donge na usongo.
Sekondari kuna jamaa watatu Wazaramo, Nia Sudi, Issa Juma na Mwinyimvua, waliongoza, Wahaya ndio wakafuatia.
Hivyo makabila mengine wanatokea mmoja mmoja wanakuwa gifted, wewe kama sio mchagga, Mjita, Mnyakyusa, Mmanda, kumpita Mhaya, then you are gifted.
Hili la Wahaya kuwa vipanga halina ubishi, na ukiwa mwanamke ndio kabisa!, si mnamuona jinsi porofesa anavyomnanga huyu kilaza wetu!。
P
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, IQ ni territorial, ikifanywa research ya comparison ya IQ za Wahaya, Wachagga compared to Wazaramo na Wandengereko, utashangazwa na matokeo!Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?Nakataa,tena watu wa pwani ni very high IQ ni vile hawakuwa well exposed na elimu,
Si kwelihata leo shule za pwani hazina rasilimali elimu kama Arusha, Kilimanjaro na uhayani,hii ilikua kusudi
Wazaram na wanyamwezi wawe exposed kwenye elimu kama kaskazini tuone nani ana IQ kubwa
Kila mahali zilijengwa shule za wote, shule za Pwani , St Joseph, St Francis, Sr Andrew, Aga Khan Boys, Aga Khan Girs, Alanis, Kisutu, Jangwani, Kibasila, zote zilifurika Wahaya na Wachagga kwasababu Wazaramo karibuHuko uhayani ilijengwa shule kwa ajili ya wahaya tu halafu pwani zikajengwa shule kwa ajili ya wote, ujinga!
😃Wachaga IQ low babu,sema wengi wanafosi shuleHakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, IQ ni territorial, ikifanywa research ya comparison ya IQ za Wahaya, Wachagga compared to Wazaramo na Wandengereko, utashangazwa na matokeo!Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
Hizi shule watoto wa 'pwani' walifaulu lakini hawakuchaguliwa, shule ya kichwele hapo kariakoo, watoto wa kariakoo hawafaulu wanakuja kusoma watu toka songea, hivyohivyo kwa galanos na usagara tanga, nyerere hakuna alichofanya,upogo wa watu wa pwani na majina ya kiarabu kukosekana sekondari uliendelea toka kwa mkoloni hadi serikali huru ya nyerere, yaani unasoma darasa moja na Peter unamzidi kila siku ila sekondari ataenda peter we huendiSi kweli
Kila mahali zilijengwa shule za wote, shule za Pwani , St Joseph, St Francis, Sr Andrew, Aga Khan Boys, Aga Khan Girs, Alanis, Kisutu, Jangwani, Kibasila, zote zilifurika Wahaya na Wachagga kwasababu Wazaramo karibu
wote walifeli la saba. Kama sio Nyerere kushusha cut off point, kuna makabila yangeishia la saba.
P
Huyu mama si ndiye alisema hela za ESCROW ZA MBOGANi walewale,viburi madarakani,kujishusha uraiani.