Prof. Tibaijuka kamzidi Samia kwa kipaji. Jifunzeni

Haihalalishi kudai wahaya Wana IQ kubwa tz,nimesoma na wahaya msingi hadi chuo na hakuna aliyekua akinizidi
Hiyo sample spacing ni poor
 
Tibaijuka Kamzidi Samia kwa uzoefu , elimu, kipaji na kujua kuongea
Hakuna cha kujifunza kwa mwizi huyu. Eti hela ya mboga! Watanzania hawatamsemehe kamwe kwa wizi alioufanya wakati ule. Dawa ni kuwakatia mirija tu hawa wezi. kwa hasira, wanapiga kelele kila siku. Na bado!
Rais ajifunze nini kwake? Wizi?
 
Haihalalishi kudai wahaya Wana IQ kubwa tz,nimesoma na wahaya msingi hadi chuo na hakuna aliyekua akinizidi
Hiyo sample spacing ni poor
Mkuu Galo, gallow bird , japo kiukweli Wahaya ndio vipanga maeneo mengi, hata huku kwenye tasnia ya Habari, ila pia kuna Wahaya wengine nao ni vilaza tuu kama akina sisi, na kuna makabila ya vilaza, kunatokea watoto gifted wanakuwa ni vipanga balaa!

Mimi primary nilikuwa kipanga wa hesabu, darasa la 6, 1st term, kuna kadada ka Kihaya kakanipita!, kwanza niliumia, ngosha chapa ng'ombe kupitwa na kademu!.

Nikawa kama nakachukia, 2nd term kakanipita tena!. Darasa la 7, ndio those turbulent teens age, kadada mwili unafutuka, dodo zinachomoza figure inasimama, nikaanza kukazimikia, nikakatokea, kakanipiga chini!, mock kakanipita kwmbali!, nikabaki na donge na usongo.

Sekondari kuna jamaa watatu Wazaramo, Nia Sudi, Issa Juma na Mwinyimvua, waliongoza, Wahaya ndio wakafuatia.

Hivyo makabila mengine wanatokea mmoja mmoja wanakuwa gifted, wewe kama sio mchagga, Mjita, Mnyakyusa, Mmanda, kumpita Mhaya, then you are gifted.

Hili la Wahaya kuwa vipanga halina ubishi, na ukiwa mwanamke ndio kabisa!, si mnamuona jinsi porofesa anavyomnanga huyu kilaza wetu!。

P
 
Hili la Wahaya kuwa vipanga halina ubishi, na ukiwa mwanamke ndio kabisa!, si mnamuona jinsi porofesa anavyomnanga huyu kilaza wetu!
Porojo zoooote zilikuwa babaisha toto, kituo kilikuwa hapoooo 👆 👆.
Mtajitahidi sana kumsafisha Tibaijuka, lakini uchafu aliokuwa naye hawezi kamwe kusafishika. Imagin, Kigamboni yote ingekuwa imeshauzwa wakati wake, eti hiyo ndio akili! Huyu huku Kigamboni hatutaki kumsikia kabisa. Leo hii nyumba za wazazi wangu na kanyumba kangu pendwa vyote vingemwagwa chini na sisi kufurushwa baharini. Kisa eti mtu mmoja anayejitambulisha kama prof. T kutumia kiti alichokuwa nacho na madaraka aliyokuwa nayo kaamua kutuuza wanakigamboni.
 
Haya ni matokeo ya ukosefu wa exposure na long term vision. Ile Kigamboni city ingefanikiwa, Dar ingekuwa super kama New York!,hizo
nyumba za wazazi wako na kanyumba kako pendwa vyote vingegeuzwa maghorofa ya pembeni ya bahari kama Miami Beach ama Acapulco Bay!

P
 
Nashukuru nimefurahia historia yako nzuri
Ukweli Kila kabila Lina kipaji chake
Tusiwalazimishe wote waingie kwenye hii Elimu yetu ambyo asilimia 90 ni kukariri tu
 
Hapa umeongea fact mkuu
Kizimkazi alikuwaga na hekima ya uongozi kabla ya kuingia tamaa madaraka ya damu

Kwa sasa amekosa vyote Hana hekima Wala Elimu inayoeleweka
 
Pamoja na kumzidi Samia kwa vitu vyote, Tibaijuka hawezi na hatakaa awe Rais.

Nikufahamishe: U-Rais, kwa mtu yeyote, is the "Pinnacle" of success
Kuna uwezekano mkubwa sana the ladder up to her success ilikuwa na mambo mambo, wala havina uhusiano wowote na hard work!!
 
tibaijuka na samuya wapi na wapi

Angekuwepo lupaso leo angeandika kitabu kingine kujilaumu kwann alitempiga chini Rose migiro mgombea mweza wa meko

kaona bora ushumileta
 
Nashukuru nimefurahia historia yako nzuri
Ukweli Kila kabila Lina kipaji chake
Tusiwalazimishe wote waingie kwenye hii Elimu yetu ambyo asilimia 90 ni kukariri tu
Ni kweli,tena japo Wahaya wana IQ kubwa,lakini wanawake wao ndio wanaoongoza kwa kufanya ile biashara,na issue ya uaminifu kwenye ndoa ni mtihani. Wamakonde ndio wachongaji vinyago wazuri,Iringa wana export ma tx beki tatu, Tanga ni mapenzi yalikozaliwa,Makabila ya wawindaji wa milimani,ni wakimbiaji wazuri,Wachagga mashoe shiner na wamiliki wa vibanda vya stendi zote,wamiliki wa majiko ya nyama choma,wagogo wauza nyama buchani,Wamachinga watembeza bidhaa, Wamakonde walinzi, siku hizi Wamasai. ,Kila kabila, hata kama hawajajakiwa akili kubwa,lakini wana kitu chao kizuri, ila pia kuongozwa na akili ndogo...

P
 
Jitahidi uandike kitabu Cha historia mkuu
Uwe mwanahistoria

Kule kwingine kwenye siasa kunakuletea aibu Bure achana nayo hujaitwa huko 😊
 
tibaijuka na samuya wapi na wapi

Angekuwepo lupaso leo angeandika kitabu kingine kujilaumu kwann alitempiga chini Rose migiro mgombea mweza wa meko

kaona bora ushumileta
Hujui. Migiro hawezi kuwa Mgombea Mwenza kwa Mgombea kutoka bara
 
Unapimaje IQ Kwa kwenda darasani kukariri?
kwa hiyo uwezo wa kukariri ndo akili kubwa?

Kama wapo wenye IQ Kubwa wanashindwaje kutengeneza au kubuni mkasi tu?!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…