Prof. Tibaijuka kamzidi Samia kwa kipaji. Jifunzeni



Yeye ndiye Raisi fake, kapatikana kwa tume fake, kura fake na inawezekana alikuwa mgombea fake!!!.
 
Nimefurahi sana! Any way, pamoja na kukosa Exposure kama unavyoieleza, lakini wanakigamboni walilielewa hilo.
Tatizo, Tibaijuka hakuweza kujibu swali moja tu la wanakigamboni. Yes, nyumba zetu zitabomolewa, maghorofa yatazuka hapo, sisi tutaenda kuishi wapi? Kwenye hayo maghorofa? Wazazi kwa uzoefu walilifahamu jibu- Hapana. Hilo halikukubalika!

Ndugu P, wewe unafahamu fika kuwa kama Nyerere angeacha kidomodomo cha kudai uhuru, na waingereza wakabaki TZ mpaka leo katika utawala wao, leo Dar ingekuwa N-York ndogo, na TZ kwa ujumla ingekuwa ni kama uingereza. Lakini, swali ndogo- hivi maendeleo hayo kwa faida ya nani? Katika mazingira yale- Mzungu namba 1, muhindi 2, muarabu 3, chotara 4 na wenye asili weusi ndio namba 5. 90% ya uchumi umeshikwa na namba 1,2 na 3. Aisee hapana, ni bora tuanze mdogo mdogo na tukapata heshima yetu. Akitaka akaiuze Bukoba.
Tibaijuka yawezekana anaujua uchumi lakini sio siasa. Katika siasa tibaijuka ni kichuguu na mama ni mlima kilimanjaro.
 
Yeye ndiye Raisi fake, kapatikana kwa tume fake, kura fake na inawezekana alikuwa mgombea fake!!!.
Kisheria kuna kitu ni void na voidable, hata kwenye ndoa kuna void marriage na voidable,
Void ndio batili, ambayo ni void ab initial, lakini voidable inarekebishika na kuwa legal

Ni kweli INEC ni voidable, hivyo the election is a voidable election, ila kura was true votes plus kura za bao la mkono, hivyo matokeo nayo ni voidable results, kitendo cha voidable INEC kumtangaza mshindi, kisha mshindi huyo akaapishwa, tangazo hilo linahalalisha kila kilichofanyika kupitia kanuni ya the end justify the means, hivyo baada ya kuapishwa ni rais halali.

Ni uchaguzi wa ubakaji wa demokrasia, kama ilivyo mwanamke tasa akibakwa akashika ujauzito kutokana na ubakaji huo, akampenda mbakaji, akajipeleka kwa mbakaji, wakaoana, mtoto akazaliwa ndani ya ndoa, mtoto huyo ni halali, na ile ndoa imefuta kosa la ubakaji. PostGE2025 - Mnyika, Japo Uchaguzi Sio Huru, Wa Haki na Halali, lakini Usimwite Rais Haramu!. Baada ya Kuapishwa ni Rais Halali Kisheria japo Sio Ki Haki!

P
 


wengine hatufuati sheria ambazo zenyewe hazifuati sheria! Yaani mtu atangazwe tu Raisi na watu wote wanajua ni kura fake halafu tukubali tu kwasababu ni sheria ambayo imewekwa na hao hao walioingia kwa kura fake! Endeleeni na Uchawa wenu Brother wengine sio type hiyo. Bila kujua mnafikiri mnasadia nchi kwa kukubali kukubali na uchawa lakini hamsaidii nchi yetu badala yake mnachangia kudumisha maendeleo na demokrasia ya nchi yetu na vizazi vijavyo
 
Nakataa,tena watu wa pwani ni very high IQ ni vile hawakuwa well exposed na elimu,hata leo shule za pwani hazina rasilimali elimu kama Arusha, Kilimanjaro na uhayani,hii ilikua kusudi
Wazaram na wanyamwezi wawe exposed kwenye elimu kama kaskazini tuone nani ana IQ kubwa
Huko uhayani ilijengwa shule kwa ajili ya wahaya tu halafu pwani zikajengwa shule kwa ajili ya wote, ujinga!
Tibaijuka mropokaji kama waropokaji wengine akina kitima, hakuna IQ yoyote kubwa hapo,nilisoma na mtu kilaza wa mbali msingi na sekondari,leo ana masters yupo utumishi Dodoma mimi nipo na first degree kutwa masjambani
Visikutishe vyeti vya akina ndalichako na lugha waliyosomea inawashinda
 
Nakataa,tena watu wa pwani ni very high IQ ni vile hawakuwa well exposed na elimu,
Hakuna kitu kizuri kama kuukubali ukweli, IQ ni territorial, ikifanywa research ya comparison ya IQ za Wahaya, Wachagga compared to Wazaramo na Wandengereko, utashangazwa na matokeo!Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
hata leo shule za pwani hazina rasilimali elimu kama Arusha, Kilimanjaro na uhayani,hii ilikua kusudi
Wazaram na wanyamwezi wawe exposed kwenye elimu kama kaskazini tuone nani ana IQ kubwa
Si kweli
Huko uhayani ilijengwa shule kwa ajili ya wahaya tu halafu pwani zikajengwa shule kwa ajili ya wote, ujinga!
Kila mahali zilijengwa shule za wote, shule za Pwani , St Joseph, St Francis, Sr Andrew, Aga Khan Boys, Aga Khan Girs, Alanis, Kisutu, Jangwani, Kibasila, zote zilifurika Wahaya na Wachagga kwasababu Wazaramo karibu
wote walifeli la saba. Kama sio Nyerere kushusha cut off point, kuna makabila yangeishia la saba.

P
 
😃Wachaga IQ low babu,sema wengi wanafosi shule
Hizi shule watoto wa 'pwani' walifaulu lakini hawakuchaguliwa, shule ya kichwele hapo kariakoo, watoto wa kariakoo hawafaulu wanakuja kusoma watu toka songea, hivyohivyo kwa galanos na usagara tanga, nyerere hakuna alichofanya,upogo wa watu wa pwani na majina ya kiarabu kukosekana sekondari uliendelea toka kwa mkoloni hadi serikali huru ya nyerere, yaani unasoma darasa moja na Peter unamzidi kila siku ila sekondari ataenda peter we huendi
Mpaka mkwere alupokata mizizi ya fitna kwa kuleta shule za kata,leo shungi tele serikalini, TEC wanaleta vurugu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…