Siyo kila mtu yupo CCM. Tanzania ina vijana wengi sana. Wao ni wanachama wa CCM na ndiyo wapigaji kura.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kila mtu yupo CCM. Tanzania ina vijana wengi sana. Wao ni wanachama wa CCM na ndiyo wapigaji kura.
Kumbe!Siyo kila mtu yupo CCM. Tanzania ina vijana wengi sana. Wao ni wanachama wa CCM na ndiyo wapigaji kura.
Yeah ni mkongomani aliyekua lecturer UD na mpiganaji huko CongoHaya ni majina ya kikongo
Kama Bashiru na Kabudi?Sema tu akili zao ndio wanakua wameziacha kwingine
HaahahhahaKama Bashiru na Kabudi?
Hata kwenye duru za siasa sauti ya ujerumani hujawahi msikia?Hebu tupe aliyoyafanya kwa undani.Binafsi simfahamu na ndo leo ninamsikia.
Ulidhani mko vijana tu. Prof Ken Eswards mjamaika aliyehamia Tanzania. Amenifundisha. B comm 1985Ila humu JF watu wamekula chumvi balaa
Kumbe mkuu wewe ni mkongwe!R.I.P Pof.
Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.
Huwa sisikilizi.Hata kwenye duru za siasa sauti ya ujerumani hujawahi msikia?
Acha uvivu.Duh, yaani unataka nijipinde na kuandika yoote aliyoyafanya Pro. Wamba au?
Mimi wa 1980'sUtakua wa 2000 wewe
Unakaribia menopause! Hongera sana, sasa imekuaje humfahamu huyu?Mimi wa 1980's
Ndiyo maana ni kosa kudhania kila mtu ni wa rika lako.Ila humu JF watu wamekula chumvi balaa
Hakuna shida ,ndo maisha.Hata wewe Mungu akikulinda utafika tu umri wangu.Maana unaweza kufa na ngoma au corona na usifikie umri wangu.Mimi huwa sisikilizi Radio ujeruman maana wameandika humu kuwa huko ndo alikuwa anafanyia kazi.Unakaribia menopause! Hongera sana, sasa imekuaje humfahamu huyu?
age is nothing but a number... kama mtu kamsikiliza Prof. Wamba Dia Wamba darasani huyo ni mhenga!
Inakusumbua nini; ndiyo maana unatakiwa kuwa unajadili mambo kwa makini, siyo kutoa matusi matusi kwani wengine utakaowatukana wanaweza kuwa mababu zako.Ila humu JF watu wamekula chumvi balaa