TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

TANZIA Prof. Wamba Dia Wamba afariki dunia

Akijisahauu mpevyake
Mkuu kumbe wewe ni mhenga ila unaleta mambo ya kidwanzi kabisa hapa JF? Kuanzia leo itabidi nikupe heshima kwa umri wako hata kama utaongea mambo yako ya ushabiki wa kipuuzi.
Yanaishiaaa humuhumu if
Nilishawahi mtwanga mjomba wanguu manenoyaukweli sikujuà NACHAT na NANI kha......nilimfwata na masale wachga mnaelewa ukikata kusamehee unakwenda kwa mesiah yakaisha
 
MPWA LAZIMA WAPUNGUE AJIRAZIONGEZEKEEEEEEEEEEUSAAABYBAAAAAAA UPO
Dah! Majonzi tele.

Wakongwe wa ile idara wanapukutika.

Nadhani waliobaki kwa sasa ni Josephat Mbwiliza, Isaria Kimambo, Nestor Luanda, na Frederick Kaijage.

Mishambi, Tambila, Mlahagwa, na sasa Wamba...wote ni marehemu!

Pumzika kwa amani jirani!
 
R.I.P Pof.

Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.

Mkuu, wazungumzia ile klabu ya wanafilosofia au?

Maana hii klabu nilipenda sana uchambuzi wake.

Cha kushangaza huyu marehemu na marehemu Kabila senior, walikuwa wakinywa bia pamoja pale Mikocheni ila baadae wakatofautiana mawazo.

Hayati Mwalimu Nyerere alimpenda sana jamaa akamuita kwenye issue ya kusuluhisha Burundi.

RIP Ernest Wamba Dia.
 
Hakuna shida ,ndo maisha.Hata wewe Mungu akikulinda utafika tu umri wangu.Maana unaweza kufa na ngoma au corona na usifikie umri wangu.Mimi huwa sisikilizi Radio ujeruman maana wameandika humu kuwa huko ndo alikuwa anafanyia kazi.
Hapana, soma history utafaidi! Amen, sasa nifikeje tena umri wako wakati nimeshaupita?
 
Hapana, soma history utafaidi! Amen, sasa nifikeje tena umri wako wakati nimeshaupita?
Hongera,hivi kwani menopause ina ubaya gani?Kama nikifika menopause nikiwa na afya njema nafanya shughuli zangu,nasomesha wanangu,I cant even wait mwanangu wa wa mwisho aanze la kwanza na wa kwanza aende secondary,yaani natamani muda ukimbie .Naucheka wakati ujao..........
 
No, rafiki you got me wrong! Sikua na maana mbaya! My apology kama ulinisoma vibaya
 
R.I.P Pof.

Nakumbuka kamati yetu ya Free Wamba dia Wamba pale Mlimani iliyoongozwa na Prof. Ken Edwards (Mghululi) R.I.P, Prof. Horace Campbell, na Ebehard Chambulikazi R.I.P.
Hizo zilikuwa enzi.

Ungesema R.I.P tu kwa Profesa ingetosha sana na siyo kutupa hizi ' Hadithi ' na ' Mbwembwe ' zako zingine ambazo hazina ' Tija ' kwa hivi sasa.
 
Back
Top Bottom