Profesa Abdulkarim Mruma hana kosa kwa ile clip inayosambaa mitandaoni

Hata tunaelewa basi...wacha lipite tu...
 
Walimtuma huyo zezeta ili serikali ishindwe na pia wapate kumtukana na kumkebehi hayati Magufuli
 
Huyo Mruma alipelekwa huko kama nani na Kwa capacity ipi na akimuwakilisha nani?
 
Ana kosa kubwa sana
Uliza kosa gani utajibiwa fasta
 
Hana kosa, kajibu aliyoulizwa lakini "unprofessionally" kabisa na kazubaa sana kama zezeta. Ni kama mtu ambae hajaenda shule. Sikutegemea kabisa Profesa awe vile, hafai kabisa, huyo abaki kwenye ukiritimba wa wizarani tu. Asipelekwe hata kufundisha kabisa. Ni bogus kabisa.

Ikiwa maprofesa ndiyo kama huyo, wanafunzi wake watakuwa ni utumbo tu.

Mbona mhasibu wa wizara kajieleza na kajibu vizuri sana, mpaka akawa anawapa somo wazungu.

Wanasheria wetu, karibia wote na profesa mruma ni bogus kabisa. Kwenye English ndiyo wabovu kabisa, kuna huyo lead wao ndiyo alikuwa anasoma kama mtoto wa chekechea, neno moja moja. Ni bogus kabisa, ni aibu hata kusema kuwa ni mwanasheria. Pambaf kabisa.

Kuna wakati team leader kaniudhi sana, Madame President wa kikao kaomba watu waende break ya dakika tano, yeye akakataa, ni mpumbavu sana, yeye haelewi kuwa wanapewa break wakajambe, waende haja zao ndogo Kistaarabu, yeye alitaka aambiwe nendeni nje mkajambe? Sijuwi jitu la wapi lile lisilokuwa na manners? Yaani mama mtu mzima tena ndiyo rais wa kikao anawaomba mwende break ya dakika tano kunywa kahawa, unamkatalia! Pambaf kabisa.
 
Huyo Mruma alipelekwa huko kama nani na Kwa capacity ipi na akimuwakilisha nani?
Amepelekwa kama shahidi na mtaalam wa jeolojia wa wizara. Ameiwakilisha wizara ya madini ya Tanzania. Lakini ni mtu bogus kabisa, walipeleka wrong person, sijategemea Profesa kuwa "amateur" wa kiwango duni kabisa.
 
Hizo clip zote zipo wapi.Nikusumbue maadam,tafadhali link.
 
Amepelekwa kama shahidi na mtaalam wa jeolojia wa wizara. Ameiwakilisha wizara ya madini ya Tanzania. Lakini ni mtu bogus kabisa, walipeleka wrong person, sijategemea Profesa kuwa "amateur" wa kiwango duni kabisa.
Mungu kamtoa pangoni mwake kamleta Duniani 🤣🤣🤣 English ya kuongea, kusoma maandishi na kusikia ni bora kuliko ya kuandika na kufundisha, The Guy is hopeless anafanya ujeuri wa kutokujibu ipasavyo wakati hana jibu la swali. Uwakilishi kwenye eneo ambalo huna maarifa ni aibu, but at least common sense ya overall intellectual in multidisciplinary perspectives ni muhimu na inapaswa kuwa basic and obvious. This was expected from the rank of professor and he has purely failed the people of academia poor Tanzania.
 
1. Kwa nini hao watu sahihi hawakwenda?

2. Kwa nini yeye kakubali kwenda wakati hana content?

3. Kwa nini serijali imemtuma yeye wakati sio mtu sahihi?
Ili tushindwe tulipe wao qapate mgao
 
Hayo ndio mafuvu ya ccm.
Majinga majinga hayana kitu.
Yanaweza rushwa tu..🤣🤣🤣🤣🤣
We mama leo umenikosha sana
 
Amepelekwa kama shahidi na mtaalam wa jeolojia wa wizara. Ameiwakilisha wizara ya madini ya Tanzania. Lakini ni mtu bogus kabisa, walipeleka wrong person, sijategemea Profesa kuwa "amateur" wa kiwango duni kabisa.
Ushamsikia yule Prof ndlchk anatema yai balaa
[emoji2088] [emoji2089]

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…