Profesa Abdulkarim Mruma hana kosa kwa ile clip inayosambaa mitandaoni

Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa.

Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni hodhi za Bafex Tz Ltd (Kampuni tanzu ya Winshear) wanajulikana. Yamkini tunazo sababu lukuki za kumshambulia Prof. Mruma ila sio kwa hili la kutoa ushahidi wake mbele ya ICSID. Tunamkosea Mruma. Turushe mawe kwa watu sahihi.

Kiini cha madai ya Kampuni ya Winshear ni Kanuni za Madini za Mwaka 2018 zilizopelekea kufutwa kwa leseni zao.

Kwa mujibu wa Sheria, Kanuni hizo zilitungwa na Waziri wa Madini; wakati huo Angellah Kairuki. Sio Prof. Mruma.

Alichofanya Mruma ni kutetea Nchi yake. Mtendeeni haki.

Pia soma
- Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuoni

Tutatetea hata ujinga mwaka huu!
 
Kairuki hangeweza kumpinga boss wake, mwendazake.

Bila kutafuna maneno, hayo ni madudu ya Magufuli na yapo mengi sana tena sana.
 
Hivi ni Prof wa sheria au? Maana kusema kweli sijaelewa !! Daah

Mungu aturehemu kwa kweli.siku Tanzania ikiacha siasa za kuviziana tutasonga mbele .lakini kwa hali ilivyo nimekata tamaa na vyama
Kwenye suala la Makinikia na ile ripoti ya professorial rubbish ni sawa kumlaumu Profesa Abdulkarim Mruma. Lakini kwa hiyo clip nakataa.

Waliosaini BIT na Canada wanajulikana. Waliofuta leseni hodhi za Bafex Tz Ltd (Kampuni tanzu ya Winshear) wanajulikana. Yamkini tunazo sababu lukuki za kumshambulia Prof. Mruma ila sio kwa hili la kutoa ushahidi wake mbele ya ICSID. Tunamkosea Mruma. Turushe mawe kwa watu sahihi.

Kiini cha madai ya Kampuni ya Winshear ni Kanuni za Madini za Mwaka 2018 zilizopelekea kufutwa kwa leseni zao.

Kwa mujibu wa Sheria, Kanuni hizo zilitungwa na Waziri wa Madini; wakati huo Angellah Kairuki. Sio Prof. Mruma.

Alichofanya Mruma ni kutetea Nchi yake. Mtendeeni haki.

Pia soma
- Mahakama ya ICSID: Professional bullying anayofanyiwa Profesa Mruma inafedhehesha jamii ya Wanazuonihapana
 
Ukitaka kujua watanzania wengi wana uelewa mdogo ni swala hili la bandari, wao wenyewe wanasema ni bora tusitishe sasa mkataba, ili tulipe kidogo kuliko kutuibia milele.
Mkuu kipi Bora kuibiwa milele au ulipe uachane na utumwa wa milele
 
Mikataba ya kipumbavu wasaini wengine alafu analaumiwa profesa wa watu. Hata mimi ningesema hizo document zijazisoma.

Unatetea vipi mambo ya kipumbavu??
Mruma ni miongoni mwa hao Wapunbavu unaosema. Yeye ni miongoni mwa Wazushi na Chawa wa watawala ndo maana anakubali kutumwa kazi asiyoiweza ili akibahatisha ainekane shujaa. Lakini bahati mbaya kwake amekutana na ngumi za uso na anarudi kutafuta huruma eti hakuhusika. Kama hakuhusika kilimpeleka nini?
 
To me magufuli syo chanzo at all!
Unajua kwann walilazimika kusitisha hii mikataba?
Mikataba ilikuwa ina expire mwaka 2023, wangesubiri tu hadi mwaka huu na kusingekuwa shida. Hakuna excuse kwenye hili haijalishi mikataba ilikuwa mibovu namna gani!!
 
Hakuna cha kumtetea ni Prof kilaza kama vilaza wengine waliokubali mkataba wa bandari wa waarabu pumbavu
Lissu aliwaambia jitoeni kwanza kwenye MIGA, mkapiga risasi na Magufuli wenu. Na Mungu amewasuta kwa UNAFIKI wenu Watanzania. Tundu Lissu hakufa licha ya zile risasi 16 kuingia mwilini, ON THE CONTRARY akafa yule DHALIMU muuaji wa Chato.

Mungu kampa Lissu uhai ili muone wenyewe athari za kumbeza kwenye ushauri wa mikataba ya madini
 
Hivi ni Prof wa sheria au? Maana kusema kweli sijaelewa !! Daah

Mungu aturehemu kwa kweli.siku Tanzania ikiacha siasa za kuviziana tutasonga mbele .lakini kwa hali ilivyo nimekata tamaa na vyama
Ni professor wa geology
 
Mikataba ya kipumbavu wasaini wengine alafu analaumiwa profesa wa watu. Hata mimi ningesema hizo document zijazisoma.

Unatetea vipi mambo ya kipumbavu??
Kama unashindwa kutetea upumbavu umeenda kufanya nini huko kwenye tribunal? Wapumbavu wote sisi hata huyo profesa unaemtetea🚮🚮🚮
 
Lissu aliwaambia jitoeni kwanza kwenye MIGA, mkapiga ridasi na Magufuli wenu. Na Mungu amewasuta kwa UNAFIKI wenu Watanzania. Tundu Lissu hakufa licha ya zile risasi 16 kuingia mwilini, ON THE CONTRARY akafa yule DHALIMU muuaji wa Chato.

Mungu kampa Lissu uhai ili muone wenyewe athari za kumbeza kwenye ushauri wa mikataba ya madini
Huyu jamaa ni kama Nabii
 
Mpumbavu hajijui ila wengine wote wanamuona kuwa ni mpumbavu. Pole Kamundu huo nao ni ulemavu

Sisi hatujali kama ni mpumbavu au sio tunachojua hawa ndiyo washauri wabaya wa serikali. Huyu Prof ametumika bungeni kupitisha sheria mbaya za madini na huyo huyo ndiyo anashidwa kusimamia hizo sheria ambazo Lissu alikuwa anaonya wakati wanazitengeneza! Sasa tuna wasomi wajinga jinga ambao wanajigamba kama vile wanajua mikataba ya biashara kumbe hawajui lolote zaidi ya kufundisha chuo! Unafikiri Dr Nshala angeweza kuwa kama huyu🤔
 
Tusizunguke sana ni kwamba maswali aliyoulizwa professor ni ya kawaida sana,isipokuwa professor lugha ndiyo imempiga chenga kuanzia listening skills, na speaking, ukiangalia kwa umakini ni kwamba prof alikua haelewi anauliza Nini,
 
Back
Top Bottom