Profesa ananyenyekea uteuzi hivi, nini maana ya kuwa na PhD sasa?

Cute Wife

Platinum Member
Joined
Nov 17, 2023
Posts
3,054
Reaction score
8,449
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

Ni maisha fulani amazing, ukitolewa halafu ukianza kuwindwa ni maisha fulani bora uwe bodaboda.
Mwacheni ashukuru, kwa sababu aking'oka hajui what is next.
 
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
Kuwa Profesa haina maana eti mtu awe na kiburi na kujiona yupo juu ya kila mtu kwenye jamii anayoishi.

Huo unaitwa unyenyekevu, sasa sijui kama huo wa Profesa ni wa kweli kutoka moyoni au maigizo.
 
Pr. Severini rugumamu
Prof. Chachage s. Chachage
Prof. Ngware s. Ngware
Prof. Mgongo fimbo
Kutaja wachache Hawa wanaweza kutetea misimamo Yao.
 
Yaan wazazi inabidi kuangalia sana watoto wetu wanapoteza mda tu huko vyuoni na wanatengenezwa kua mazwazwa na mapoyoyo harafu uongozi unakuja kuchukuliwa na watoto wa vibopa na viongozi ambao elim zao ni hapa na pale ndo manaibu waziri wa elimu dah....Mm wanangu wawili tu ndo nahangaika nao ila vyuoni ili kwa sababu wanafanya vizuri sana ila wengine napambana nao kwenye biashara
 
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
Kusoma kwake kote hakukumsaidia chochote. Ni ujuha kwa mteule kuchukulia uteuzi kama hisani. It’s a call to serve!

Huu ni ushahidi kwamba haendi kutumikia wananchi. Priority yake ni kujinufaisha yeye na familia yake.
 
Kweli njaa huondoa akili, jitu lina PHD linatumwa na waziri form four fallier.
Na ndiyo maana mataifa makubwa huwezi kuingia kwenye siasa kama wewe ni kapuku.

Kwetu hapa Kapuku - zero brain anaingia kwenye siasa eti akatutungie sisi sera za namna ya kusonga mbele kama Taifa wakati yeye mwenyewe sera zake zishafeli.
 
Ni hulka na haiba yake binafsi haihusiani na uprofesa hata kidogo.
Hata hivyo ukweli unabaki, kuwa profesa bongo toka enzi zile hadi leo haijawahi kuwa sifa ya kujiamini au kutoka kimaisha. Pia siasa za bongo zina tabia ya kuwatukuza wateuliwa wa siasa na kwa mtu aliyewahi onja "utukufu" wa kuwa waziri pata picha kurudishwa kwenye "gemu".
 
Kweli njaa huondoa akili, jitu lina PHD linatumwa na waziri form four fallier.
Na ndiyo maana mataifa makubwa huwezi kuingia kwenye siasa kama wewe ni kapuku.

Kwetu hapa Kapuku - zero brain anaingia kwenye siasa eti akatutungie sisi sera za namna ya kusonga mbele kama Taifa wakati yeye mwenyewe sera zake zishafeli.
Unadhani hawa ni makapuku, hapana shida ni zile hela za lupiga kwenye system ndio wanazimisi, na ukiwa nje ya system kuna hadhi fulani inapotea
 
Profesa wa jalalani ni tapeli na laghai muda mrefu sana.

Alisema hii dawa rais anagawa mwenyewe mitaani kule Madagascar.
20260403_082746.jpg
 
Back
Top Bottom