kopites
JF-Expert Member
- Jan 28, 2015
- 9,791
- 12,225
Miaka yote
Huyu anadhalilisha elimu yake
Kwani miaka yote hio hakujipanga?Ni maisha fulani amazing, ukitolewa halafu ukianza kuwindwa ni maisha fulani bora uwe bodaboda.
Mwacheni ashukuru, kwa sababu aking'oka hajui what is next.
Huyu anadhalilisha elimu yake
