Profesa ananyenyekea uteuzi hivi, nini maana ya kuwa na PhD sasa?

Uchawa ugonjwa mkubwa sana kwa taifa hili

Ova
 
Njaa mbaya sana 😀😀. Akiambiwa sujufu anasujudu.
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
[/QUOTE

Elimu ya kimagharibi haijawahi kumsaidia mtu mweusi kamwe, wakishahitimu na kupata macertificate wanayaweka makabatini na kurudi to the default settings!

Yani baada ya mashule wanarudi kwenye ule unyani wa kale, kama alivyowahi kusema Rev. Mtikila RIP

Profesa anarudi kwa mganga wake akampe hirizi mpya, akanywe mavi ya tembo yalikorogwa na makohozi ya nguruwe ili nyota ing'ae, akaue mama yake ili awe mkuu wa chuo, akafanye uchawa ili mamaduro amuone then unajiuliza kwa nini amepoteza miaka yake kwenda hadi Ujeremani wakati haamini alichokisoma kama ni kweli!

Na wengine kwenda kuchora mawe ili waonekane anafaa kuwa rais au akaombewe na manabii na mitume weusi wa kibongo na wengine Nigeria wengine wakahiji kwenye bwawa la galilaya au jiwe la kaaba then mambo yatanyooka, apedomia ile ile ya kale!
 
Mkuu,

Hata hawa waliokuwekea JF uweze kujimwayamwaya kuwatukana hivi nao?
 
Mkuu it's all about generalization, kama hawa waliofanya haya mazuri hawafiki 5% (assumption) wanakosa significance wanamezwa na majority na sijatukana nimesema mawazo yangu tu kwa uzoefu, sina data though
 
Hakuna mkate mgumu mbele ya chai.
Enzi tupo chuo pendwa Kabudi tulikuwa tunamuona ana akili mpaka zinamwagika. Akianza kutema madini class na mate yake yale. 😁
Hakika kwa sasa sio yeye yule tulikutana nae UDSM....
 
Mkuu it's all about generalization, kama hawa waliofanya haya mazuri hawafiki 5% (assumption) wanakosa significance wanamezwa na majority na sijatukana nimesema mawazo yangu tu kwa uzoefu, sina data though
Umetoa mawazo yako yaliyowatukana kwa generalization bila data.
 
Sijatukana ntu, labda kama sijui maana ya matusi na pia nimesema nimetoa uzoefu, unataka ithibati? I own my thinking if they don't make sense to you, just ignore them baaasi!

Profesa huyuhuyu aliiletea nchi concortion liquid toka Madagasca in public nataka proof gani kujua anaamini matunguli na sio elimu yake? Na kupigia magoti watawala anaprofess nini kwa umma? You live on what you believe, what you show in public is only a fraction of your life drama
 
Upo right. Mfano mzuri ni wakati wa corona, yaani maprofesa na madaktari wa muhimbili wanaweka stations za kujifukiza na waziri anaingia kwenye banda la kujifukiza.
Pia NIMR nao wanatengeneza dawa ya corona, wengine wanaenda madagascar kuchukua dawa ya corona.
Halafu kwenye mamba ya uchembuzi wa wa dhahabu, illogical exaggerations ambazo kisayansi hazipo na hata sijui zimeishia wapi.
Wasomi wetu wanafuata mkondo wa hela na siyo elimu.
 
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
Majizi tu yote hayo
 
Elimu ya kimagharibi haijawahi kumsaidia mtu mweusi kamwe, wakishahitimu na kupata macertificate wanayaweka makabatini na kurudi to the default settings!

Yani baada ya mashule wanarudi kwenye ule unyani wa kale, kama alivyowahi kusema Rev. Mtikila RIP

Profesa anarudi kwa mganga wake akampe hirizi mpya, akanywe mavi ya tembo yalikorogwa na makohozi ya nguruwe ili nyota ing'ae, akaue mama yake ili awe mkuu wa chuo, akafanye uchawa ili mamaduro amuone then unajiuliza kwa nini amepoteza miaka yake kwenda hadi Ujeremani wakati haamini alichokisoma kama ni kweli!

Na wengine kwenda kuchora mawe ili waonekane anafaa kuwa rais au akaombewe na manabii na mitume weusi wa kibongo na wengine Nigeria wengine wakahiji kwenye bwawa la galilaya au jiwe la kaaba then mambo yatanyooka, apedomia ile ile ya kale!
Very true ,comment bora mwaka huu🔥🔥🔥
 
Umetoa mawazo yako yaliyowatukana kwa generalization bila data.
Hajatukanwa mtu huo ni ukweli nchungu ,bongo hamna kipya kwa wasomi wetu...Usione wanapigania siasa ,bila ya hizi dili wanakuwa hawana kazi ya kujipatia kipato kizuri.

Wengi hata huki vyuoni wanalilia mishahara mikubwa na wengine wameenda mbali mpaka kutaka kustaafu kwa miaka zaidi ya 70 ...Mtu kuomba kustaafu kwa miaka zaidi 70 kama sio uoga wa maisha ni nn ?

Useme vyuoni kila siku wanaomaliza hawana uwezo wa kifundisha? Madogo wengi tu wanapiga GPA 3.8 na kuendelea ila hawana ajira..Wawape nafasi wawe malecturers.

Ukweli mchungu ,elimu imetufanya kuwa wategemezi na usikute Msomi anaweza kwenda nje kushangaa maghorofa badala ya kuchambua watu walifanyaje kujenga hayo maghorofa.🤣
 
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
Hawa wawili hapo ndiyo wahusika walioandaa movie ya watu kuiibiwa sehemu za siri ili kuwahamisha watu kwenye mijadala
 
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
Hapo yupo between life and death!
Vifungo vitokanavyo na viapo vyao vinawafanya wakose uhuru na amani maishani!
 
Degree tatu kichwani izo.
1775363728814.jpg
 
Sijatukana ntu, labda kama sijui maana ya matusi na pia nimesema nimetoa uzoefu, unataka ithibati? I own my thinking if they don't make sense to you, just ignore them baaasi!

Profesa huyuhuyu aliiletea nchi concortion liquid toka Madagasca in public nataka proof gani kujua anaamini matunguli na sio elimu yake? Na kupigia magoti watawala anaprofess nini kwa umma? You live on what you believe, what you show in public is only a fraction of your life drama
Sijamuongelea Profesa nimeongelea wasomi wengi wa Tanzania ambao hata hawajapewa nafasi na mfumo.

Kwamba wewe una mawazo yako na una haki ya kuyatoa haimaanishi kwamba mawqzo yako ni sawa na hayawatukani watu.

Usinilazimishe ni ignore mawazo yako potofu, naweza kuamua kuyakosoa, na mimi nina haki ya kukosoa mawazo yako potofu kama wewe ulivyo na haki ya kutoa mawazo potofu usijifanye wewe uko special zaidi una haki ya kutoa mawazo potofu halafu wengine wanyamaze tu, unanipangia kama nani?

Haki ya kunipangia ni ignore tu unaipata wapi?
 
Wakuu,

Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!

Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.

HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!

Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA....":BearLaugh::BearLaugh: kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂

View attachment 3566737
Huyu profesa tangu aingie kwenye siasa amekuwa wa ovyo sana.
 
Back
Top Bottom