Nini maana ya kuwa na PhD? Kwanini akubali maisha hayo? Kwanini WAKUBALI maisha hayo?Ni maisha fulani amazing, ukitolewa halafu ukianza kuwindwa ni maisha fulani bora uwe bodaboda.
Mwacheni ashukuru, kwa sababu aking'oka hajui what is next.
Kuwa Profesa haina maana eti mtu awe na kiburi na kujiona yupo juu ya kila mtu kwenye jamii anayoishi.Wakuu,
Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!
Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.
HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!
Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA...."kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂
View attachment 3566737
Pr. Severini rugumamuKuwa Profesa haina maana eti mtu awe na kiburi na kujiona yupo juu ya kila mtu kwenye jamii anayoishi.
Huo unaitwa unyenyekevu, sasa sijui kama huo wa Profesa ni wa kweli kutoka moyoni au maigizo.
Kusoma kwake kote hakukumsaidia chochote. Ni ujuha kwa mteule kuchukulia uteuzi kama hisani. It’s a call to serve!Wakuu,
Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!
Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.
HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!
Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA...."kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatosha😂😂
View attachment 3566737
Unadhani hawa ni makapuku, hapana shida ni zile hela za lupiga kwenye system ndio wanazimisi, na ukiwa nje ya system kuna hadhi fulani inapoteaKweli njaa huondoa akili, jitu lina PHD linatumwa na waziri form four fallier.
Na ndiyo maana mataifa makubwa huwezi kuingia kwenye siasa kama wewe ni kapuku.
Kwetu hapa Kapuku - zero brain anaingia kwenye siasa eti akatutungie sisi sera za namna ya kusonga mbele kama Taifa wakati yeye mwenyewe sera zake zishafeli.