Kwani miaka yote hio hakujipanga?Ni maisha fulani amazing, ukitolewa halafu ukianza kuwindwa ni maisha fulani bora uwe bodaboda.
Mwacheni ashukuru, kwa sababu aking'oka hajui what is next.
Ashakuambia alilokotwa jalalan pale udsmWakuu,
Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!
Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.
HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!
Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA...."kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatoshaππ
View attachment 3566737
udsm ni jalala astakfr,hhv$&-5345ππ·ππ―π€π¨π€π¦π¦πΊπ¦ππ©²π©²π©²π©²π©²π©²π©²π©²π©²ππ πβοΈβοΈπ¨Ashakuambia alilokotwa jalalan pale udsm
Inasikitisha mno nchi yetu hii. Dah!Wakuu,
Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!
Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.
HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!
Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA...."kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatoshaππ
View attachment 3566737
Uchawa umeliharibu taifa hili. Hawa ndio wanafanya elimu ionekane use.nge tu. Wapuuzi kama huyu mzee ndio wanaosababisha wazazi wanawaondoe watoto wao mashuleni baada ya kushindwa kuona umuhimu wa mtu kuelimika.Wakuu,
Profesa mwenye, aliyesoma na kuelemiika anapokea teuzi hivi kana kwamba bila huo uteuzi anakufa, hapa Rais si anaonekana kama Mungu! Ndo maana alimwita Magufuli Mungu!
Baba ananyeyekea teuzi, yaani hapo mwili unasema ningekuwa mtu wa nani mimi kama ningekosa teuzi. Eti ndo wasomi tuliokuwa tunategemea walete mabadiliko nchini! Msoni unayetegemea alete solutions zitakazotatua changamoto mbalimbali nchini! Ni huzuni.
HUyu nguvu ya kushauri tofauti na matakwa ya Rais anatoa wapi? Ndo kwanza atakaa kimya ili asije kumuuzi Boss akamtimua. Uchumi wenyewe mgumu huu, hata yeye anaogopa kuwa jobless!
Halafu akitoka hapo anashupaza shingo "Vijana mjiajiriiiiiiiii, vijana tengezeni ajira, vijana mwende VETA...."kina Lucas Mwashambwa, Tlaatlaah na genge lako mpaka koo zinawakuka fisiemu inatoshaππ
View attachment 3566737
Huyu profeseli ni zaidi ya qumer!Profesa wa jalalani ni tapeli na laghai muda mrefu sana.
Alisema hii dawa rais anagawa mwenyewe mitaani kule Madagascar.
View attachment 3566816