Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Lazima akabidhi mwisho si ilikuwa jana saa tano na dakika 59!
 
Duh. Hiyo mi V8 yote iliyopaki hapo inanyonya damu za watanzania
 
Kawe Alumni
Huyu bwana mkubwa ameendekeza siasa za Kaka Zitto Kabwe na ndizo zimempoteza, kiburi kwa watu ambao unapaswa kuwasikiliza kwani ndio wadau wa kazi yako huwa hakina maana yoyote ile. Yeye sio mhimili ni sehemu ya hiyo mihimili mitatu.
 
Ila ccm bana sio kila kitu cha kusifia hatakama kunamakosa japokuwa kunamambo jiwe anafanya nayaelewa ila katika hili hapana amekosea
 
Huyu Mzee ni Kati ya Watu Wenye Hekima Kubwa.
Wenye Hekima Wanaridhika na Mazingira Yoyote, na Kamwe Hawababaishwi na MALI, CHEO au SIFA.
Jifunzeni kuweka akiba ya maneno , acheni Ku Mungufy watu
Mnakumbuka kilichotokea baada ya kumuita lowassa mtakatifu aliye shushwa na Mungu?
 
Kawe Alumni
Sasa neno upinzani hapo linakujaje.., mnajichanganya kwa kutaka sifa. wote tunajua kashaondoka siasa za nini!!!!!!????
 
Back
Top Bottom