Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Tulijua lazima akabidhi kwani ofisi yake hiyo? Kama anapenda akajiunge na wanasiasa uchwara kina Zitto and others!
Hakika huko CCM wengi mko hivi
1572191514899.jpeg
 
Nimekumbua Play Titled “An Enemy of the People “
 
Huyu bwana mkubwa ameendekeza siasa za Kaka Zitto Kabwe na ndizo zimempoteza, kiburi kwa watu ambao unapaswa kuwasikiliza kwani ndio wadau wa kazi yako huwa hakina maana yoyote ile. Yeye sio mhimili ni sehemu ya hiyo mihimili mitatu.
Weka hapa bandiko lenye matamshi ya kisiasa aliyowahi kufanya Prof Assad na ukifanya hivyo nitakuzawadia vitenge doti 50.
 
Jifunzeni kuweka akiba ya maneno , acheni Ku Mungufy watu
Mnakumbuka kilichotokea baada ya kumuita lowassa mtakatifu aliye shushwa na Mungu?
Hapo kwenye kumungufy utakuwa unamzungumzia Pombe bila shaka maana ndiyo hata akipiga chafya tu mataga mnapiga makofi.
 
View attachment 1254451

Hiki ni kitendo kilichofanyika bila kuchelewa , hajataka kuleta longolongo ili waseme kuna mafaili yametoroshwa .

Kila la heri Profesa Assad
Pole Prof, ila pole kubwa ije kwetu watanzania - Kapumzike umesimamia unachokiani so your free....(upo huru) .... kuwaambia ukweli na kufuata maadili ya kazi yako wanakwambia eti unajenga ka babeli kako... ha ha ha Kweli dunia ina mambo.
 
Back
Top Bottom