Babu Kingo
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 431
- 164
PROF ASSAD TAYARI AMESHANYAKULIWA NA WORLD BANK.Huyu profesa ni mtu mwenye maadili ya uongozi. Hongera sana profesa Mwenyezi Mungu atakufungulia mlango mwingine upate riziki yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PROF ASSAD TAYARI AMESHANYAKULIWA NA WORLD BANK.Huyu profesa ni mtu mwenye maadili ya uongozi. Hongera sana profesa Mwenyezi Mungu atakufungulia mlango mwingine upate riziki yako.
akili za kitoto hizi eti yapo mengi ambayo hayaandikwi, haya sasa wewe leo yaandike tuyaone hapa na muache porojo za kusadikika.Sivihitaji vitenge mkuu Daudi mwana wa Yese, yapo mengi ambayo hayaandikwi jukwaani lakini watu wanayafahamu kwa kina. Masalia ya mwisho mwisho ya JK ndiyo haya yanaondolewa, upo uhusiano kati ya ZZK na hao wawili niliowataja.
Yapo mengi unayoyajua lakini kimaadili huwezi ukayaweka jukwaani. Na wewe sio kundi la watoto.akili za kitoto hizi eti yapo mengi ambayo hayaandikwi, haya sasa wewe leo yaandike tuyaone hapa na muache porojo za kusadikika.
Upo nje ya Mada Mkuu.Jifunzeni kuweka akiba ya maneno , acheni Ku Mungufy watu
Mnakumbuka kilichotokea baada ya kumuita lowassa mtakatifu aliye shushwa na Mungu?
Siku zote mfano siyo neno lililopo ktkUpo nje ya Mada Mkuu.
Habari ya Lowasa inahusiana nini na habari ya Asadi ?
Aliyemwita Lowasa Mtakatifu ni nani ?
Mbona unaleta hoja tofauti na mada inayozungumziwa hapa?
Tatizo nini Mkuu.
ugoro.Yapo mengi unayoyajua lakini kimaadili huwezi ukayaweka jukwaani. Na wewe sio kundi la watoto.