Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Kafanya vizuri kwani hata kwenye biashara kama unaambiwa kukabidhi mali ni lazima ukabidhi kwa muda mliokubaliana na ukiona hupati mrejesho ujue kuna walakin
Na amefanya inavyotakiwa
 
Lowasa mumeshammaliza sasa anavaibreti kama trekta la Valmet lililochakaa sijui hata mumetumia sumu gani.
Hahahaha....Nyie ndo mlimuita nywele nyeupe, roho nyeupe, sasa mmeanza kwa Assad eti ana roho nyeupe ili mummalize.
 
Mnavyojua kuchanganya mafaili basi mada ni Assad kukabidhi ofisi sasa ya Lowasa yanakuja wapi hapa? Washamba wa Lumumba mnafeli wapi?
 
Hahahaha!! Lowassa wa mioyo ya watanzania hutaki kumsikia tena? Kwani kukabidhi ofisi kuna ajabu gani mpaka iwe mjadala?
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Yaani wewe unatakiwa ukapimwe akili yako kama iko sawa.
Ni wapi ktk maelezo ya CAG wakati anakabidhi ofisi ameonesha kutaka huruma ya wananchi?
Ni lini CAG aliwahi kutumiwa na wanasiasa? Unakumbuka wakati alipoitwa kuhojiwa bungeni kwa kusema bunge ni dhaifu baadhi ya wanasiasa na hata wanasheria walimshauri asiende lakini akaenda?
Prof.Assad ni mtu makini mwenye msimamo, mweledi anayejiamini, siyo kama yule prof. aliyeokotwa jalalani.
 
Bro hua unapanic sana tena kusiko hata na ulazima
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Naona umeandikiwa hii habar wewe unakazi ya ku paste popote pale. Unawezakuta umeibandika hadi kwako.
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Kwani alikuwa anatumika na wasaliti? Nao ni kina nani?
 
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Dogo umekazana na CAG, tambua tu hakuna namna yoyote utafanya/atafanya yeyote kudiscredit heshima ya ASSAD.
 
Praise Team mjiandae kudefend uchafu wenu
Prof Assad atamwaga mboga ninyi mmemwaga ugali
He is not stupid all this while amekusanya vya kukusanya
Wajinga ndio waliwao
 
Nyie ndo mnakula wakati huu siku kikinuka mtatafuta pa kukimbilia
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa

CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG

Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake

Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
 
Assad kaiharibu na kuivunjia heshima sana hiyo ofisi.

Zitto kamuharibu huyu mzee..akalime sasa Unguja.

Viva Magufuril
Jambo usilolujua atalipwa mshahara wa CAG wa sasa kwa miaka 3 ,akifikisha miaka 60 atalipwa 80% ya mshahara wa CAG aliyepo mpaka atakapokufa ,lakini jambo lingine yupo kwenye kamati ya ukaguzi wa miradi ya UN ,tukiendelea kuelezea ya profesa hatumalizi,pambana na maisha yako yake ameyapatia
 
Amefanya vizuri sana kuwaachia ofisi yao mapema watu wenye roho mbaya, husda na wapendao ufisadi. Tunawajua kinagaubaga wahusika wenyewe na wapambe wao kwa sababu wengi wao wanafundishwa kutokutenda haki na kufanya dhulma kwa wengine ikiwa ni moja ya misingi ya malezi yao. CAG Assad amelelewa kwenye misingi ya kutenda haki, ulifanya vizuri sana kuwaanika kwa UFISADI NA UJAMBAZI wao, kilichobaki huyu mpambe wao waliomchagua mwache akasafishe vitabu, lakini akumbuke ukweli wote unajulikana.
 
Uongo uliokomaa, hiyo twitter imetengenezwa na wahuni ,siyo ya Makongoro Nyerere, huo ni ugombanishi na uzandiki.
Tuwe wastaarabu jamani.
 
Back
Top Bottom