Profesa Assad amkabidhi ofisi CAG mpya, hakuona haja ya kupiga danadana

Huyu jamaa ni mfano wa kuigwa kwa viongozi wote, wangekua diligent kama huyu jamaa nchi ingekua mbali sana, viongozi wa bongo wangeamua kuchapa kazi hii miaka mitano tungekua tumefanya double au triple ya tuliyofanya leo, ila wengi wamekalia kufuatilia wanaume wanaoishi na wadada ambao hawajawaoa, wengine ni kamatakamata, wengine wanatembea na camera men kila siku kuuza sura mjini kujionyesha kua wanafanya kazi, wengine wanavamia vituo, wengine wanawaambia watu wazima kua watawachapa viboko, wengine wanakamata mtu kisa kabadilisha kichwa chake na rais kwenye picha (comedy), ujinga mtupu, nyani tu.
 
Profesa Asad umuhimu wake utakuja kufahamika kuanzia mwaka 2025 watakao bahatika kufika muda huo watakiri. Hata wale waliomdhihaki watamwomba msamaha japo kwa dhihaka ila Mungu ataisukuma mioyo ya wale wakosaji ili kumwinua huyu profesa asiye na mawaa. Mungu ibariki Tanzania na kawaangushe wale wanafiki wachumia tumbo
 
Hawa MaCAG wote waungwana sana.
Mungu awabariki!
 
Hazikutoshi! Kasome uelewe, amestaafu kwa vipi?
 
Jamaa muungwana na akili kubwa pia.Nimemwangalia huko kwa millard
 
Kweli tumejaaliwa kwa vijembe!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] kampiga kijembe ticha wake kama vile we ulizinguana na bunge ndo maana ukaishia mitano...mi ntaweka sawa contract ziwe renewed.
 
Assad kaiharibu na kuivunjia heshima sana hiyo ofisi.

Zitto kamuharibu huyu mzee..akalime sasa Unguja.

Viva Magufuril

Profesa Assad ni muadilifu aliyekutana kwa bahati mbaya na wachafu wanaoigiza uzalendo.
 
Jiwe la wahashi limekataliwa tz Sema jiwe limetokelezea Duniani likiwa linang'aa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…