Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hahahaha....Nyie ndo mlimuita nywele nyeupe, roho nyeupe, sasa mmeanza kwa Assad eti ana roho nyeupe ili mummalize.Lowasa mumeshammaliza sasa anavaibreti kama trekta la Valmet lililochakaa sijui hata mumetumia sumu gani.
Naomba nije unifundishe dada ili IQ yangu ipande!Nna wasi wasi na iq yako...lazma itakua below normal
Mnavyojua kuchanganya mafaili basi mada ni Assad kukabidhi ofisi sasa ya Lowasa yanakuja wapi hapa? Washamba wa Lumumba mnafeli wapi?Hahahaha....Nyie ndo mlimuita nywele nyeupe, roho nyeupe, sasa mmeanza kwa Assad eti ana roho nyeupe ili mummalize.
Hahahaha!! Lowassa wa mioyo ya watanzania hutaki kumsikia tena? Kwani kukabidhi ofisi kuna ajabu gani mpaka iwe mjadala?Mnavyojua kuchanganya mafaili basi mada ni Assad kukabidhi ofisi sasa ya Lowasa yanakuja wapi hapa? Washamba wa Lumumba mnafeli wapi?
Naona ndaza ya rubisi bado ipo kichwani unajadili mambo yasiyohusiana na mada.Hahahaha!! Lowassa wa mioyo ya watanzania hutaki kumsikia tena? Kwani kukabidhi ofisi kuna ajabu gani mpaka iwe mjadala?
Hahaha! Nadhani rubisi ndiyo ipo kwenye mada.Naona ndaza ya rubisi bado ipo kichwani unajadili mambo yasiyohusiana na mada.
Yaani wewe unatakiwa ukapimwe akili yako kama iko sawa.CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG
Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake
Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria

Naona umeandikiwa hii habar wewe unakazi ya ku paste popote pale. Unawezakuta umeibandika hadi kwako.CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG
Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake
Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Kwani alikuwa anatumika na wasaliti? Nao ni kina nani?CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG
Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake
Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Dogo umekazana na CAG, tambua tu hakuna namna yoyote utafanya/atafanya yeyote kudiscredit heshima ya ASSAD.CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG
Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake
Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
CAG amestaafu kwa mujibu wa sheria
Kama wapinzani wanampenda wamwajiri maana kila mwaka wanapata hati chafu ya ubadhirifu wa pesa
CAG apumzike aache kutafuta huruma ya Wananchi yeye sio wa kwanza kushika hicho cheo Kila mtanzania mwenye sifa alistahili kuwa CAG
Muda wake umeisha apumzike amefanya kazi yake
Aache kutumika na wanasiasa wasaliti wa nchi
Duh. Hiyo mi V8 yote iliyopaki hapo inanyonya damu za watanzania
Jambo usilolujua atalipwa mshahara wa CAG wa sasa kwa miaka 3 ,akifikisha miaka 60 atalipwa 80% ya mshahara wa CAG aliyepo mpaka atakapokufa ,lakini jambo lingine yupo kwenye kamati ya ukaguzi wa miradi ya UN ,tukiendelea kuelezea ya profesa hatumalizi,pambana na maisha yako yake ameyapatiaAssad kaiharibu na kuivunjia heshima sana hiyo ofisi.
Zitto kamuharibu huyu mzee..akalime sasa Unguja.
Viva Magufuril