Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Unaweza ukawa sahihi kabisa. Sasa ili kutatua tatizo sasa tunapaswa kuuza hizo ndege kisha tukazikope, si ndio?
 
Asante sana mkuu kwa kuleta madini humu ndani yamkini haya mapopoma yatajifunza kitu maana nilipowaambia huyo assad umeunajisi uprofesa, na kutuonyesha kuwa ni duni kuliko hata std7 maana Msukuma na Kishimba wanamawazo mazuri mala 1M ukilinganisha na huyo profesa maji mafupi!
Ni mtu asiyejielewa! Anaridhika kupokea misaada tu bila kujali masharti...what a shame😡!
 
Muulize prof msambichaka ndiye anayemjua mdini yule alivyo mpuuzi. Anatamba kwa vile kuna mtu wa dini yake
 
Hii cash yenu ndio itakayowafanya msifanye safari za kimataifa.
 
Mpuuzi huyo hana uwezo wa kuona hayo! Huo ukweli Smbao Magu aliusema wazi wala haukumbuki! Mfia taifa lake alitaka Tz ipate ndege zake kwa bei chee ili kupunguza mzigo wa madeni kwa watz! Yy anafungua mdomo na kuanza kubwabwaja tu! Nawapa pole waliofundishwa naye chuoni!
Pathetic of a professor 😂😠!
 
Huyu profesa mandevu ana dharau na kiburi sana.Anafikiri kuwa profesa ndo kujua kila kitu kuliko watu wengine. Hawa ndo wasomi wasio na faida katika nchi zao.
 
Trillion 1.5 ziko wap
Yaani billion 1500 jamaa kaiba na bado kafa
 
Sawa nimekuelewa mkuu. Sisemei kuwajaza ofisi za wilaya, mashirika ya umma. Jenga mazingira ya wao kujiajiri au kuajiliwa sekta binafsi.
 
Haya maneno au matamko yanayotolewa na watu tena waliosoma sana yanasikitisha. Nilijaribu kuelewa dhana au maana ya kusema ni mtu mjinga tu ndiye anaweza kununua ndege kwa pesa taslimu!
Binafsi ninawachukia wanasiasa kwa sababu wanatumia maneno kutulaghai kwa maslahi yao binafsi. Kwangu mtu kununua kitu kwa fedha taslimu ni ishara kuwa anao uwezo huo. Na anayekopa ni ishara kuwa hana uwezo, na hili siyo kwa ndege tu, leo hii kunw mtu ananunua chupa ya mafuta ya kula lita moja na mwingine anakopa kirobo akapikie je ni sahihi tumwite mjinga?
 
Professor au Maji Marefu
 
Cheki sasa akili nyingine hii, unalinganisha ndege za matrilion vs mafuta ya kula lita 1?

Akili za kimaskini ni noma sana.
 
Pole sana hakimu usiyehakimu kazi kuhukumu werevu na wataalam na matajiri walipekodi au wasilipe, hawajalipa poleni sana.
 
Professor uchwara huyo, miongoni mwa watu waliosetiwa na kikundi cha uhujumu uchumi kutoka Msoga
 
Umepotea njia, acha kuandika insha za darasa la 7. Tupe takwimu kama Prof Asaad alivyofanya, Je makampuni makubwa duniani kama vile Delta Airlines (850 planes), Southwest Airline ( 679) fleets), China Airline, Flight Emirates, KLM, nk walinunua cash % mkopo y%. Then uje hapa utopolo wako kuhoji speech ya Prof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…