Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Huyo Ni mchumia tumbo tu mshamba kama washamba wengine.
Shwainny
 
Kwani magufuli alitumia pesa zake binafsi tokea mfukoni mwake? Pesa za walipa kodi siyo Hisani za CCM
 
Huyo Ni mchumia tumbo tu mshamba kama washamba wengine.
Shwainny
Wachumia Tumbo ni wale wanaoutetea uovu uonevu mateso manyanyaso ya magufuli kwa wapinzani wafanyabiashara na wengineo , huwezi kutetea vitendo vya kishetani kuwabambikia kesi kesi za utakatishaji fedha uhujumu uchumi wafanyabiashara kienyeji kwa njia haramu alafu uwe na uhalali wa kumpinga profesa Assad
 
Sehemu zingine Duniani hawanunui Ndege kienyeji kwa cash pasipo kuishirikisha Bunge kutangaza tenda, magufuli kaacha kumbukumbu ya ufisadi kwenye ununuzi wa Ndege siyo zaidi ya hapo
 
Kifo hakiepukiki mkuu "Freiston" tumuombee mama Samia apambane kumalizia kazi nzuri walizo anzisha pamoja.
Mama Samia achukue mazuri pekee ndiyo ayaendeleze huku akitokomeza ufisadi ndani yake ili yaweza kukamilika haraka
 
Hiki hakiwezi kuwa kigezo cha kumzuia profesa Assad kusema mabaya ya marehemu magufuli kwani kipindi magufuli akiwa hai aliwaziba watu midomo kwa kutumia vyombo vya dola na hakuna aliyethubutu kumkosoa na hata waliomkosoa walifungwa jela kwa kubambikiwa kesi mbalimbali, acha kuuliza maswali ya kijinga jinga kuwa alikuwa wapi kipindi magufuli akiwa hai wakati unajua magufuli alikuwa Dikiteta hakuruhusu kukosolewa
 
Sehemu zingine Duniani hawanunui Ndege kienyeji kwa cash pasipo kuishirikisha Bunge kutangaza tenda, magufuli kaacha kumbukumbu ya ufisadi kwenye ununuzi wa Ndege siyo zaidi ya hapo
Mfano nchi gani?
 
Sehemu zingine Duniani hawanunui Ndege kienyeji kwa cash pasipo kuishirikisha Bunge kutangaza tenda, magufuli kaacha kumbukumbu ya ufisadi kwenye ununuzi wa Ndege siyo zaidi ya hapo
CAG ameonyesha hasara inayo tokana na uendeshaji wa shirika na sio manunuzi, acheni kuropoka.
 
Mama Samia achukue mazuri pekee ndiyo ayaendeleze huku akitokomeza ufisadi ndani yake ili yaweza kukamilika haraka
Wenzako wanaona kilakitu nikibaya angalau wewe umeona mazuri ambayo yanapaswa kuendelezwa.

Ufisadi hauishi kirahisi ila tanzania na dunia inajua jinsi Magu alivyo pambana na wabadhilifu wa malizauma na alikuwa mkali kwelikweli, kama wewe hukuona basi malaika wako ameona.
 
Kwa Shirika la ATCL kununua ndege kwa fedha Taslimu, sioni tatizo bali naona wamejipunguzia mzigo. Hivi ripoti inasema kuwa shirika limeingiza hasara na bado lina madeni ya nyuma, kuchukua ndege kwa mkopo ama kulipia kidogo kidogo ingeishia kuongeza deni na kushindwa moja kwa moja.
 
Msameheni Prof, njaa haijawahi kuruhusu ubongo kufikiri. "Hapa Kazi tu" inaendelea, tunasubili ndege 3 tushalipia kabisa
 
Hakuna rais alieongeza na kusogeza huduma za jamii kama Magufuli. Hebu hesabu katika miaka mitano amejenga zahanati ngapi, vituo vya afya vingapi, hospitali za wilaya ngapi, hospitali za mikoa ngapi, sekondari ngapi, n.k. Juu yake ongeza ukarabati wa shule, zahanati, vituoa vya afya, na hospitali. Hakuna aliemfikia, na hii ndiyo inayowaogopesha CHADEMA.
 
Si uzome link hiyo, sasa kama kusoma hujui nikusaidieje?

Hivi ku lease ni kununua?
lease
/liːs/
Learn to pronounce
noun
a contract by which one party conveys land, property, services, etc. to another for a specified time, usually in return for a periodic payment.
"a six-month lease on a shop"
 
Ku lease sio kununua, ni kuchukua kitu cha mtu unakitumia kwa muda flani huku ukumlipa gharama za kutumia hicho kitu chake na wakati mwingine kuna riba iko.

Kiswahili rahisi ni mkopo. Kiti chochote chenye riba juu yake ni mkopo.
 
Huyo Pro. Assad ni mpumbavu sana, anatuletea mambo ya chuki zake binafsi za kutenguliwa kutoka madarakani kutulisha sumu ya kuichukia Serikali ila uzuri tumekwishamshitukia na vibaraka wenzie woote wanao-retire imprest
 
Mbona hakumshambulia kipindi angali hai? Huo ndo unafiki wa Assad tunaoupinga. Unamshambulia mtu ambaye hawezi kujitetea, huo si ni uendawazimu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…