Profesa Assad ni muongo, duniani 73% ya ndege zote za biashara hununuliwa kwa pesa taslimu

Mtu pumbavu muache na upumbavu wake,hilo ni kundi pigaji na walioshika hatamu baadhi yao,sasa wanasaidiana kuhadaa wananchi kua HAYATI Dr JPM hakua mtu mwema ilihali tuliona kwa macho yetu

Jitu linajiita eti proffesor...bure kabisa
 

Watanzania tumeuzwa. Naomba tuwe macho sana na haywa watu wanafiki wanaofanya kila wanaloweza tena bila haya kulazimisha kumfuta Rais Maguguli kwenye picha,muda mfupi baada ya kufariki kwake. Wakati Nyerere alipofariki, watu wote walioonesha uwendawazimu wa kushangilia kifo chake walichukuliwa hatua, na hata hivi karibuni, watu wakimsema vibaya kwa namna isiyo staha, wanatiwa hatiani. Inakuwaje kwa Rais Magufuli kianza kunangwa hadharani na watu tena wa ngazi za juu?

Kuna nini walichonacho hawa watu ambacho wanadhani wakikileta bila kumuondoa Magufuli kwenye picha kitakwama? Wana agenda gani ovu hawa watu ambao miaka yote na awamu nyingi wamekuwepo kwenye mifumo lakini hawakuwahi kuwa bora kuliko Magufuli? Wanapata wapi audacity ya kukandia juhudi za Rais wetu ambazo hata dunia nzima inaziadmire?

Kama ni taiza kuuzwa, ndugu zangu tumeuzwa. Sasa ni wakati wa kukataa uongozi wowote unaosimama na kuwadhalilish aviongozi bila staha. Leo hii wanachokpanda hawa watu, watakuja kuona matokeo yake pale ambapo, watadharaulika, kufedhaheshwa na wasiweze kuongoza mtu.

INASIKITISHA SANA. MAMA SAMIA PLEASE DO SOMETHING TO STOP THESE MALICIOUS, EVIL MINDED IDIOTS FROM DESTROYING OUR NATION.

I understand kwamba no one is perfect, na kuonyesha difference kati ya mtu mwenye ufahamu, na asiye, kati ya kiongozi makini na miburura, na kati ya mtu anayejali taifa na mijaza tumbo, ni namna ya kudeal na weaknesses za predecessor wako. TUMECHOKA, UJINGA HATUTAKI, WE NEED A GREAT NATION. TUSONGE MBELE KWA MAZURI BADALA YA KUFANYA TAIFA KIGOGO CHA KAHAWA. PERIOD!
 
Porojo zilezile mmekaririshwa km misukule ni kuabudu hamjui serikali ya jiwe ilijaa ulaghai na takwimu za uongo
 
Nawee acha kujitia kichwa maji hizo ndege mmeanza kununua mwaka gani na je kipindi hicho korona ilikuwepo...???
 
Mnalishwa matangopori na nyie mnaenda tu kizombi zombi kama mmekatwa vichwa.
 
Nawee acha kujitia kichwa maji hizo ndege mmeanza kununua mwaka gani na je kipindi hicho korona ilikuwepo...???
Kama ulikimbia umande, rudi darasani kajifunze biashara... shirika lianza kufufulia 2017. Sasa kama unadhan kwa vile ndege zinaruka ndo tunapatz fajda ya haraka haraka hivyo sahau... huwezi lala masikini na kuamka tajiri hata siku moja...
 
Amewahi kua mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi wa NBC, enzi za utawala wake benki ilikua inaelekea kufa/kufilisika kabisa. Bila yeye kuondolewa bank isingekuwepo sasa hivi
Kama hayo ni ukweli kwa mujibu wa bandiko lako basi naye ni Mang'aa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…