Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Now it is not Faculty, it's College, na hiyo College wameigawanya zimekuwa mbili, College of Humanity (COHU), and College of Social Science (COSS), Department of Political Science and Public administration inaangukia COSS, RIP Prof.

Thanks for information GAUTAMA ! Prof. taught us in the mid '80s. RIP Prof
 
RIP Prof... Alikua akiishi peke yake?? Hakuwa na Mlinzi hata?? Ikitokea amezidiwa ghafla usiku ingekuaje?
 
pamoja na kutamkwa 'liviga' we umeamua kumpachika jina lako
 
Tz kutembea usiku ni hatari sana. Nchi inayosadikiwa kuwa na amani. Kuna nchi zenye skinheads lakini bora huko kuliko nchi yako pekeyo na huna amani nayo.
 
Duuuuh naona huu ni utaratibu mpya wa kuendesha mambo nchini.R.I.P Prof
 
Dah! Kweli CCM ni janga la kitaifa, wamechoma makanisa, wamemuwa Dr.Mvungi, wamempiga Dr.Ulimboka, wameuwa Albino ili washinde uchaguzi, wamesababisha ajali kwa kuendekeza rushwa kwa matarafiki wao, wameharibu elimu ya nchi trough BRN.. Na sasa wameamua kumuuwa Profesa ambaye ni hazina ya Taifa sasa sijui nani atapona huko mbele.
 
Ila na hii tabia ya maprof. kuishi singo sijajua kama ukiwa prof. automatically unapata ka laana kakuwa singo, ama ni kujua haki zaidi ya faragha kutokana na uprof. any way R.I.P Prof.
 
Another Professor has been short Dead in his Home Bunju.

Can someone help me here, what is all behind killings of UDSM proffessors?"

Dah Mkuu nisaidie kwenye red ulimaanisha shot au kama lilivyo?
 
msomi mkombozi wa jamii anapigwa risasi, kwanini!!

ameuwawa mvungi tumekaa kimya mpaka leo umesikia matokeo ya tume ya uchunguzi

so tarajia na hilii kuundiwa tume matokeo mungu akipenda
 
Lkn kwanini wanauwawa tu maproffessor tena kwa risasi?tatizo ni nini,wanatumia akili zao halafu wanaona zitawageuka xio?inatisha ,na sisa kuingia ktk jeshi la polisi,tena jeshi lisilokuwa na uwezo wa kiupelelezi,hawanaga majibu ya mauaji ya ndugu zetu wasomi wetu maproffesor,ni tatizo,ni jang hilo,kwa nini lkn?kwanini tusisema kuna wanaohisika humo ndani?
 
sijui na mimi nitakufaje!! maana...............!!
rip prof.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…