Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Profesa Athuman Mavige auawa kwa risasi Bunju

Daaaa eti msomi mtu kapigwa risasi unaanza kuingizia mambo ya siasaaa wehu sanaaa nyieeeee mbna watu wengi kitaa wanauliwa na watu wasio julikana hamsemi ni njama ya chama fulani so mtu maarufu yeyote akiuawa ni njma ya kisiasa uwiiii kwa mwendo huu hatuendi kabisa yule nae alikuwa binadamu huwezi jua alikuwa ana ishi vipi......nashangaa sana kuona mtu msomi wa miaka hii unatekwa na upuuziii wa siasa hebu hiyo waachie wale wasio jitambua kama akina slaa,mbatia,nape,kinana,msigwa,mnyika co ww katika hili uanze kusema ni chama fulaniiiii utachekwaaa sanaaa

R I P ndugu yetu mwalimu wetu umeacha pengo kubwa ambalo halitaweza kuzibika kamweee.....bwana ametoa na bwana ametwaaa jina la bwana libarikiweee.......tulikupenda lakin mungu kakupenda zaidi ...sote tupo njia moja umetangulia nasi tupo njiani kuja

REST IN PEACE

bwana hajatwaa ametwaa muuaji
 
Aliyepigwa risasi ni Professor Athuman Liviga
 
His name is Prof. Athumani Livigha from the Faculty of Arts & Social Sciences, Department of Political Science.
 
Wanafunzi hawana hasira naye? Labda majambazi ya kutumwa hayo...
 
Mm naujua ukweli. Chadema ndio wamemuua ili wasingizie serikali. Kwani mmesahau walikuwa wanamtumia sana kwenye siasa zao???
 
stress za ndoa. miezi kadhaa alitalikiana na mkewe.
 
Mungu amlaze mahala pema..... nakumbuka alinitesa sana kwenye ps flani hivi.
 
Another Professor has been short Dead in his Home Bunju.

Can someone help me here, what is all behind killings of UDSM proffessors?"
Moderator. Saidia short = shot
 
Last edited by a moderator:
His name is Prof. Athumani Livigha from the Faculty of Arts & Social Sciences, Department of Political Science.

Now it is not Faculty, it's College, na hiyo College wameigawanya zimekuwa mbili, College of Humanity (COHU), and College of Social Science (COSS), Department of Political Science and Public administration inaangukia COSS, RIP Prof.
 
Another Professor has been short Dead in his Home Bunju.

Can someone help me here, what is all behind killings of UDSM proffessors?"

Poleni sana wanajumuiya ya UDASA na poleni sana wanafunzi waliokuwa wakisubiria kufundishwa na profesa hivi kwanini wasomi wetu wasiishi katika nyumba zao hapo chuoni kama hazitoshi jengeni zingine inasikitisha kumpotesa proffesa na pengo kubwa sana.
 
Back
Top Bottom