evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
😳😳😳😳Eeeh amefariki na mtoto wao naskia yupo hospitali
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😳😳😳😳Eeeh amefariki na mtoto wao naskia yupo hospitali
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Acha Unanga Wewe,Hapo Kumb.la torati 18:10,haisemi Aombeae Bali ni awaombae wafu,elewa kiswahili tofautisha kati ya kuwaomba na kuwaombea.1.Torati 18:10-11.Wala asionekane mtu ..............apandishae pepo,wala uchawi ,wala mtu AWAOMBEA WAFU. Mungu anakataa kuombea wafu bali tuombeane tukiwa hai.
2.Muhubiri 9:5 Kwa sababu walio HAI WANAJUA ya kwamba watakufa; lakini WAFU HAWAJUI neno lo lote, wala HAWANA ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."
3. Waebrania 9:27. Baada ya kifo ni hukumu. Hivyo kumuombea marehemu ni ujinga mbele za Mungu. RIP ni neno la kufarijiana tu ila halibadirishi chochote kwa mwenda zake.
Yaap ni mwanamke, ametoka kunipigisha lecture juzi tu,hata Assignment yake na test hajasahisha.sijawahi kumsikia, kumbe ni mwanamke
Na wewe unaumwa si bure, mbona unateseka Sana?.Sasa km haibadilishi kitu wewe kinakuuma nini?,Si ufanye yako?.Jinsi unavyoishi na watu ukiwa hai ndivyo unavyojichagulia wapi uende siku ukifa. RIP haibadirishi chochote! Nikufarijiana tu.
Maskini!Binti kabakia yatima.
AminaMaskini!Binti kabakia yatima.
Mungu ampe faraja.
...Serious, Mkuu? Hali inatisha. Tuchukueni Tahadhari....!Dah na sisi mtaani tuna misiba Kama mitano.
...Habari ndio kama hivyo zilizowekwa hapa...Ohhh no jirani...hapana jamani...rip prof mamiro...umemuacha mumeo mkiwa....jamani nimeumiaaa[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]
. .Mwaka huu huu? Pole sana Mkuu. Pole kwa familia zao...Moyo unaniuma sana maprof wangu watatu wa SUA walionifundisha wamekufa kiajabu ajabu tu,R.I.P my teacher.
...mmmm, Wastaafu tena Mkuu? Hats hawa tuwaache wapumzike.Wewe ni Mzee mstaafu MWEHU!!! Siwezi kupoteza muda na wewe, pumzika shambani kwako.