Abby Newton
JF-Expert Member
- Nov 12, 2017
- 1,252
- 2,253
1.Torati 18:10-11.Wala asionekane mtu ..............apandishae pepo,wala uchawi ,wala mtu AWAOMBEA WAFU. Mungu anakataa kuombea wafu bali tuombeane tukiwa hai.RIP umejuaje kwamba haibadilishi kitu???, lete ushahidi.
2.Muhubiri 9:5 Kwa sababu walio HAI WANAJUA ya kwamba watakufa; lakini WAFU HAWAJUI neno lo lote, wala HAWANA ijara tena; maana kumbukumbu lao limesahauliwa."
3. Waebrania 9:27. Baada ya kifo ni hukumu. Hivyo kumuombea marehemu ni ujinga mbele za Mungu. RIP ni neno la kufarijiana tu ila halibadirishi chochote kwa mwenda zake.