mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 88,759
- 123,368
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaonekana tu kwenye hiyo picha yake. Ila ndivyo tena. Safari yake hapa duniani ndiyo imefikia tamati. Apumzike kwa amani. Na sisi wote tutamfuata. Yeye ametangulia tu.Duuu kanifundisha Microbiology na Organic farming kipengele cha Mushroom production. She was so ambitious and committed to her job. We used to call her an Iron lady. Huyu mama alichukia sana uzembe na ulege lege hasa tulionao wasomi wa Kitanzania.
Mungu amuweke mahali alipojichagulia.Its a worst day for me.[emoji24][emoji24][emoji24]
Mungu amuweke mahali alipojichagulia.
Poleni. Leo nimemuona Elli Mshana nikataka kumuuliza umepotelea wapi?!! Heri ya mwaka mpyaOhhh no jirani...hapana jamani...rip prof mamiro...umemuacha mumeo mkiwa....jamani nimeumiaaa😭😭😭😭😭
Ulipotea kitambo!Ohhh no jirani...hapana jamani...rip prof mamiro...umemuacha mumeo mkiwa....jamani nimeumiaaa😭😭😭😭😭
Siyo marufuku bali ni upendeleo mmepewa, sasa mtakufa taratibu huku mkiandaa mirathi.Huku mbeya tumeambiwa marufuku kuandika Kama amekufa ghafla
Kwa mwendo huu wa kutokuwa na ujasiri wa kumkabili mzee baba na genge lake, wengi tu njia moja. Mmoja mmoja kila mtu kwa wakati wake kwa kirusi hiki hiki.Habari za jumapili wapendwa?
Kwa tunaomfahamu Profesa Mamiro wa SUA amefarikiView attachment 1696732
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app