Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
CHangamoto?Habari za Jumapili wapendwa?
Kwa tunaomfahamu Profesa Mamiro wa SUA amefarikiView attachment 1696732
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
CHangamoto?Habari za Jumapili wapendwa?
Kwa tunaomfahamu Profesa Mamiro wa SUA amefarikiView attachment 1696732
[emoji23][emoji23][emoji23]Baba yake aliposikia mume wa mama yake ndio nini?
You must be senile; ukifahamu umri wake itasaidia nini? Irrespective of age , the death of a scholar is a loss to the country! R.I.P. prof.Pigo kubwa! How old was he?
Muulize mama yako if I am senile! That one knows me perfectly well! Ungeliniuliza mbona unauliza umri.... then nikakujibu. Kwa vile umeleta matusi, Muulize mama yako mimi ni nani atakwambiaYou must be senile; ukifahamu umri wake itasaidia nini? Irrespective of age , the death of a scholar is a loss to the country! R.I.P. prof.
Sie wamama mtuache tunahaha mara ajira za vijana hamna mara Corona, hebu tuacheni kidogo, malizaneni wenyewe tu.Muulize mama yako if I am senile! That one knows me perfectly well! Ungeliniuliza mbona unauliza umri.... then nikakujibu. Kwa vile umeleta matusi, Muulize mama yako mimi ni nani atakwambia
Nisamehe mama yangu. Huyu mtu amenitukana. Sina namna. Appology!Sie wamama mtuache tunahaha mara ajira za vijana hamna mara Corona, hebu tuacheni kidogo, malizaneni wenyewe tu.
Muulize mama yako if I am senile! That one knows me perfectly well! Ungeliniuliza mbona unauliza umri.... then nikakujibu. Kwa vile umeleta matusi, Muulize mama yako mimi ni nani atakwambia
Pigo kubwa! How old was he?
Ndege JOHN: jama yangu umelamba reliDah na sisi mtaani tuna misiba Kama mitano.
Jinsi unavyoishi na watu ukiwa hai ndivyo unavyojichagulia wapi uende siku ukifa. RIP haibadirishi chochote! Nikufarijiana tu.Wapi hapo alipojichagulia??
Asante MkuuMungu awafariji wana SUA
KabisaPoleni wana SUA hakika tumepoteza hazina kwa taifa
Yaani we acha tu.Naskia week iliyopita alimzika Mama yake baada ya kifo cha Mama yake Baba yake alivyosikia mume WA Mama yake huyo marehemu alizimia Masaa 8 ..alivyozinduka naye baadae umauti ukamfika akawazika ..sasa Juzi nasikia amerudi Morogoro ndio nayeye yamemkuta ..R.I.P Mamilo kwani kapitia Magumu sana
Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Jinsi unavyoishi na watu ukiwa hai ndivyo unavyojichagulia wapi uende siku ukifa. RIP haibadirishi chochote! Nikufarijiana tu.