TANZIA Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA afariki dunia

Naskia week iliyopita alimzika Mama yake baada ya kifo cha Mama yake Baba yake alivyosikia mume WA Mama yake huyo marehemu alizimia Masaa 8 ..alivyozinduka naye baadae umauti ukamfika akawazika ..sasa Juzi nasikia amerudi Morogoro ndio nayeye yamemkuta ..R.I.P Mamilo kwani kapitia Magumu sana

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app

Hujaeleweka mkuu
 
Mkuu unaandika kama mtoto wa chekechea.. yaani hueleweki.. tumia alama za uandishi.. na pangilia maelezo msomaji aelewe
 
Naskia week iliyopita alimzika Mama yake baada ya kifo cha Mama yake Baba yake alivyosikia mume WA Mama yake huyo marehemu alizimia Masaa 8 ..alivyozinduka naye baadae umauti ukamfika akawazika ..sasa Juzi nasikia amerudi Morogoro ndio nayeye yamemkuta ..R.I.P Mamilo kwani kapitia Magumu sana

Sent from my TECNO CC6 using JamiiForums mobile app
Baba yake aliposikia mume wa mama yake ndio nini?
 
Dah Corona hii, habari tunazozisikia ni za watu ambao kwanjia moja ama nyingine wanaumaarufu nchini. Vipi huko vijijini au uswahili kwa wasiojulikana?
 
Huku mbeya tumeambiwa marufuku kuandika Kama amekufa ghafla
[emoji870]
JamiiForums329407765.jpg
 
Marehemu alisumbuliwa na nn?!!au amekufa ghafla?!!
R.I.P PROF
 
Wewe ulipotea zaidi aisee..nilikua nachek umeonekana kama sikosei 2019...nikajua umechange id...mm nipo nimepumzika tu na soshomedias
All in all God is good nimefurahi kuona comment yako leo, kuna baadhi ya watu muhimu nikiona comments zao huwa nafurahi mmojawapo ni ww anyway tuko pamoja. stay blessed.
 
Chizi Corona.
Kwa mwendo huu wa kutokuwa na ujasiri wa kumkabili mzee baba na genge lake, wengu tu njia moja mmoja mmoja Kula mtu kwa wakati wake kwa kirusi hiki hiki.

Hata huu alikuwa na nafasi ya kupaza sauti.

Hatimaye nafasi hiyo haipo tena.

Apumzike kwa amani profesa Mamiro.
 
Back
Top Bottom