TANZIA Profesa Delphina Mamiro wa Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine - SUA afariki dunia

Acha Unanga Wewe,Hapo Kumb.la torati 18:10,haisemi Aombeae Bali ni awaombae wafu,elewa kiswahili tofautisha kati ya kuwaomba na kuwaombea.
 
Jinsi unavyoishi na watu ukiwa hai ndivyo unavyojichagulia wapi uende siku ukifa. RIP haibadirishi chochote! Nikufarijiana tu.
Na wewe unaumwa si bure, mbona unateseka Sana?.Sasa km haibadilishi kitu wewe kinakuuma nini?,Si ufanye yako?.
 
Wewe ni Mzee mstaafu MWEHU!!! Siwezi kupoteza muda na wewe, pumzika shambani kwako.
...mmmm, Wastaafu tena Mkuu? Hats hawa tuwaache wapumzike.
Wamepitia mengi na bado mengi yanawasibu.
Kuwahusisha na Tusi sio jambo Jema kwa wazee wetu....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…