Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

Elimu ipi munayoiongelea?
Hii ya watu ma Prof lkn wanapambana na akina Msukuma kwa hoja?
Hawa wanaosema corona haipo kesho yake akija kiongozi mwingine wanasema ipo?
Hawa wanaoona kumkamua mlalahoi kwa Tozo wapate hela wainue uchumi wa nchi, na kuondoa uwezekana kuimarika uzalishaji?

Wachukuliwe wenye akili
 
JF kuna zaidi ya vinyonga. [emoji1][emoji1]
Ukinyonga wangu uko wapi hapo? Penye ukweli lazma tuseme Idara iko makini sana kwenye recruitment hata mafunzo pia, sema kuna vijana wachache ambao ni % ndogo ambayo huichafua idara hii kwa matendo mabovu ya utapeli.
 
Futa ujinga wako TISS iko vyema na naomba usi ifananishe na hayo makolokolo ambayo yako chini ya afande SIRRO.
miss pablo njoo ucheke huku, ujuwe ukiambiwa dunia ina mambooo. [emoji1][emoji1]

Tusishangae akipotea huyu na mwili wake kutoonekana.

"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.

Chanzo: Millard Ayo

Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.

Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.

Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
 
miss pablo njoo ucheke huku, ujuwe ukiambiwa dunia ina mambooo. [emoji1][emoji1]

Mbutukunaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
JF kuna zaidi ya vinyonga. [emoji1][emoji1]
hahahhaaaa Daaaa wallah Leo nimecheka Aisee mkuu Matola this is JF!
Yaani Kuna watu humu ni masnich Mzee Mamvi akasome Aisee
Kwenye ule Uzi ulimuunga mkono huyu mwamba Leo kapiga u turn Moja matata!
😂😂😂😂
🙌🙌🙌🙌
 
hahahaha umeona mkuu huyu jamaa mnafiq wa viwango vya kimataifa Haeleweki anasimamia Nini yaani
😁😁😁
Popoma kazingua sana sijaona umuhimu wa yeye kuizungumzia TISS kwenye upande wa recruitment, haoni hata aibu Professa Elifas kashindwa kuizungumzia ni kwa sababu atakuwa na taarifa fika kuwa watu walioajiriwa upande ule ni watu makini na wenye IQ kubwa mno tofouti na majeshi yetu ya ulinzi.
 
Mbutukunaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
daaaaa Aisee kweli binadamu hawatabiriki muda wowote hubadilika nimecheka Sana Sana wakuu baada ya kuona ule mtifuano wenu Kwenye Uzi wa Nyboma Leo karuka futi mia
😂😂😂😂😂
🙌🙌🙌🙌
 
Jeshi wana chuo kikuu chao National defense college kunduchi na Monduli kuna chuo tena cha jeshi hata Rwanda , Kenya , uganda wanakuja kujifunza .

Kuna mkufunzi wa chuo cha kijeshi nilimuona akichangia mada kisomi na kiweledi mada kuhusu sadc pale udsm mgeni mwalikwa alikuwa Jk , ni brigedia jenerali Kwa vyovyoye atakuwa na elimu ya kutosha
 
Jeshi halihitaji wasomi wa madigree ndio maana mpaka leo jeshi angalau kiasi fulani wako smart. Hawa wenye madigree huwa wavivu sana kufaa kwa kazi ya jeshi.

Mi sijawahi kuwaamini maprofessor wa bongo maana wengi wanaishi maisha ya kuunga unga na kubahatisha kuliko wasiosoma.

Luteni wa jeshi ana hadhi kuliko phd holder wa chuo kikuu.

Hii nchi imefika hapa ilipo kwa sababu ya hao wenye phd . Kifupi wasomi hawanaga msaada zaidi ya kukariri manadharia,hivyo wataliharibu jeshi.
 
Majitu yaliyozoea kutumia nguvu kuliko akili yakiambiwa kitu huwaga yanakuja juu sana , ukweli ndio huo aliosema prof
 
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.

Chanzo: Millard Ayo

Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.

Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.
 
daaaaa Aisee kweli binadamu hawatabiriki muda wowote hubadilika nimecheka Sana Sana wakuu baada ya kuona ule mtifuano wenu Kwenye Uzi wa Nyboma Leo karuka futi mia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
Hahahaha mwache jamaa yetu. Huwa wengine wanafikiri kuwa kipenyo ni umbea umbea kumbe ni proffessionals zinawapeleka[emoji23][emoji23][emoji112]

Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
 
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.

Chanzo: Millard Ayo

Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.

Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.

Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
How about salary

Huu ndio mfupa mgumu haswa
 
Nilishakuwa na mmoja wa kitengo kikuu halafu akawa anaongea broken english yke na wazungu.hahahaha mwisho alijishtukia akaniuliza vipi napatia mzee nikamjibu uko njema babaangu wala usihofu.kwani unachowaambia si wanakuelewa tuu na kufuata.
 
Pamoja na kukubaliana na Prof lakini tatizo kubwa ni mindset ya vyombo vyote vya dola Tanzania, hasa vinavyohusika na uchunguzi wa makosa ya jinai

Kutesa watuhumiwa ili waseme au waandike na ku saini kile wachunguzi/wapelelezi wanachokitaka ni dalili kua hawana weledi, maarifa wala maadili ya kazi zao. Ni wahuni tu na majambazi kama majambazi wengine tu

TAKUKURU kwa mfano, wanaajaari watu wenye shahada za kwanza na kuendelea wakiwa na professions tofauti tofauti. Lakini hadi pale serikali ya awamu ya sita ya mama Samia ilipoingia madarakani na kukemea hilo, wao walikua wanaongoza kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kisha kuacha kuwapeleka hospitali ili tu watimize haja zao binafsi za kupata conviction mahakamani ili wapandishwe vyeo!!!!

Bahati nzuri utawala wa mama Samia umeliona hilo na kulisimamisha japo watendaji wanalipinga chinichini wakitaka waachiwe mamlaka ya kuminya haki za binadamu!

Inatakiwa system overhaul na elimu juu ya haki na wajibu kwa vyombo vya ulizi na usalama, vyombo vya uchunguzi wa makosa ya jinai na vyombo vyote vya utoaji haki kwa ujumla. Vinginevyo wanachofanya ni uhalifu tena ni crime against humanity
Una mtindio wa ubongo. Lengo lako lilikua kuisifia awamu ya sita na sio hayo uliyoandika.
 
Back
Top Bottom