Ukinyonga wangu uko wapi hapo? Penye ukweli lazma tuseme Idara iko makini sana kwenye recruitment hata mafunzo pia, sema kuna vijana wachache ambao ni % ndogo ambayo huichafua idara hii kwa matendo mabovu ya utapeli.JF kuna zaidi ya vinyonga. [emoji1][emoji1]
miss pablo njoo ucheke huku, ujuwe ukiambiwa dunia ina mambooo. [emoji1][emoji1]Futa ujinga wako TISS iko vyema na naomba usi ifananishe na hayo makolokolo ambayo yako chini ya afande SIRRO.
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.
Chanzo: Millard Ayo
Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.
Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.
Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
Mbutukunaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]miss pablo njoo ucheke huku, ujuwe ukiambiwa dunia ina mambooo. [emoji1][emoji1]
Kwanini watumishi wengi wa 'idara nyeti' ni matapeli na hupenda kujifunua utambulisho wao kwa wauza bia bar
Nimekaa nikajiuliza sana kwanini watumishi wengi wa idara nyeti (wengi mtakuwa mmenisoma na maanisha nini), watu hawa ukiangalia kazi wanayofanya na maisha yao mtaani ni vitu viwili tofouti kabisa maana vijana hawa wamejawa na tamaa hadi kufikia kutapeli watu hovyo mtaani kwa kigezo cha kufanya...www.jamiiforums.com
hahahhaaaa Daaaa wallah Leo nimecheka Aisee mkuu Matola this is JF!JF kuna zaidi ya vinyonga. [emoji1][emoji1]
Popoma kazingua sana sijaona umuhimu wa yeye kuizungumzia TISS kwenye upande wa recruitment, haoni hata aibu Professa Elifas kashindwa kuizungumzia ni kwa sababu atakuwa na taarifa fika kuwa watu walioajiriwa upande ule ni watu makini na wenye IQ kubwa mno tofouti na majeshi yetu ya ulinzi.hahahaha umeona mkuu huyu jamaa mnafiq wa viwango vya kimataifa Haeleweki anasimamia Nini yaani
πππ
daaaaa Aisee kweli binadamu hawatabiriki muda wowote hubadilika nimecheka Sana Sana wakuu baada ya kuona ule mtifuano wenu Kwenye Uzi wa Nyboma Leo karuka futi miaMbutukunaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2222][emoji2222][emoji2222][emoji2222]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app
Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri."Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.
Chanzo: Millard Ayo
Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.
Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
Hahahaha mwache jamaa yetu. Huwa wengine wanafikiri kuwa kipenyo ni umbea umbea kumbe ni proffessionals zinawapeleka[emoji23][emoji23][emoji112]daaaaa Aisee kweli binadamu hawatabiriki muda wowote hubadilika nimecheka Sana Sana wakuu baada ya kuona ule mtifuano wenu Kwenye Uzi wa Nyboma Leo karuka futi mia
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]
How about salary"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.
Chanzo: Millard Ayo
Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.
Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.
Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
He is more than stupid,ths guy!!You're very Stupid.
π π π π π π π we unaendaje na divison 1 jeshini
Kama na wewe upo TISS basi kweli kuna viazi hukoFuta ujinga wako TISS iko vyema na naomba usi ifananishe na hayo makolokolo ambayo yako chini ya afande SIRRO.
Una mtindio wa ubongo. Lengo lako lilikua kuisifia awamu ya sita na sio hayo uliyoandika.Pamoja na kukubaliana na Prof lakini tatizo kubwa ni mindset ya vyombo vyote vya dola Tanzania, hasa vinavyohusika na uchunguzi wa makosa ya jinai
Kutesa watuhumiwa ili waseme au waandike na ku saini kile wachunguzi/wapelelezi wanachokitaka ni dalili kua hawana weledi, maarifa wala maadili ya kazi zao. Ni wahuni tu na majambazi kama majambazi wengine tu
TAKUKURU kwa mfano, wanaajaari watu wenye shahada za kwanza na kuendelea wakiwa na professions tofauti tofauti. Lakini hadi pale serikali ya awamu ya sita ya mama Samia ilipoingia madarakani na kukemea hilo, wao walikua wanaongoza kwa kupiga na kutesa watuhumiwa kisha kuacha kuwapeleka hospitali ili tu watimize haja zao binafsi za kupata conviction mahakamani ili wapandishwe vyeo!!!!
Bahati nzuri utawala wa mama Samia umeliona hilo na kulisimamisha japo watendaji wanalipinga chinichini wakitaka waachiwe mamlaka ya kuminya haki za binadamu!
Inatakiwa system overhaul na elimu juu ya haki na wajibu kwa vyombo vya ulizi na usalama, vyombo vya uchunguzi wa makosa ya jinai na vyombo vyote vya utoaji haki kwa ujumla. Vinginevyo wanachofanya ni uhalifu tena ni crime against humanity