Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
We dada bwana ako ana shida sana kwenye ndoa yenu uwenda akitoka kazini unamkagua mpaka boxer kwa wivu😂😂Uprofesa unadhani ni sawa na kuwa na matako? Uprofesa ni kisomo kutoka kwenye credible university, machapisho na utafiti.
Sasa nimuonee wivu huyu mgonjwa wa kusoma ili iweje?
One millionForm inalipiwa bei gani?
Tuanzie hapo kwanza.
Maisha ni mpango mkuu kila mtu anampango wake wa maisha.Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.
BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada
Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.
Wengi wanaomponda ni wagombea wenza nafikiri amewatishaUmemfanyia uchunguzi wa kufa mtu ama unaleta wivu tu.
Spika anaongozwa na kanuni tu,hakuna kitukipya kutoka mbinguni pale.
Watanzania hapo watakurushia madongo tu. Lakini binafsi huwa naona Wasomi wengi walioanzia Certificate au Diploma halafu wakafika ngazi za PhD wengi wao huwa wanakuwa na gap fulani ukilinganisha na wale walio unga moja kwa moja.Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.
BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada
Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.
Wewe mumeo anapotoka Nyumbani humkagui?We dada bwana ako ana shida sana kwenye ndoa yenu uwenda akitoka kazini unamkagua mpaka boxer kwa wivu😂😂
Kwa uelewa wangu wa ccm inavyojiendesha Hivi sasa huyu bwana wameishamuundia ZENGWE la fitina kiasi kwamba Jina lake haliwezi kuvuka Kwenye sekretariat ya hicho chama. Kwenye secretariat ndiko waliko watekelezaji wa MAZENGWE; watasema kwa kuweka hiyo clip amevunja kanuni zao za kuanza kampeni kabla ya muda wake!!! Na wengi waliochukua form akiwemo Msukuma ,wasiojua wataangukia kwenye hiyo fitina. Huoni wazoefu wakina Zungu na Chenge wamekaa kimya hawajasema lolote!!!4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali
Kwani kabudi si mwalimu lakini alikuwa wa jalalaniHizo ni ramli tu huwezi mfahamu prof mwafwenga kwa nazungumzia yake ni mwalimu wangu namjua vizuri
Ulitaka kuongea nini?Kwani kabudi si mwalimu lakini alikuwa wa jalalani
Hatashinda maCCM yote Bungeni yatamchagua Musukuma mwanachama mwenzao anayejua kusoma na kuandika kama wao aliyepata PhD ya kule hivi karibuni.Bora ashinde tu kuliko mi ccm
huyu mzee nondo zimemchanganya.ana vitu vingi mpaka vinampotezea mwelekeo.muda wake mwingi ameutumia kusoma so amefikia kwenye climax.Huyu Prof.hajachanganyikiwa,
Anasoma hivo anatafuta nin? Nchi isiyothamini Tafiti
Kama alivyosema ndiyo anataka akafanye mageuzi eneo la spika ni sawa na wale wanaouliza chadema mmwlifanyia nini taifa wakati madarakani wapo ccm
Bora ashinde tu kuliko mi ccm