Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Uprofesa unadhani ni sawa na kuwa na matako? Uprofesa ni kisomo kutoka kwenye credible university, machapisho na utafiti.

Sasa nimuonee wivu huyu mgonjwa wa kusoma ili iweje?
We dada bwana ako ana shida sana kwenye ndoa yenu uwenda akitoka kazini unamkagua mpaka boxer kwa wivu😂😂
 
Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.

BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada

Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.
Maisha ni mpango mkuu kila mtu anampango wake wa maisha.
 
Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.

BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada

Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.
Watanzania hapo watakurushia madongo tu. Lakini binafsi huwa naona Wasomi wengi walioanzia Certificate au Diploma halafu wakafika ngazi za PhD wengi wao huwa wanakuwa na gap fulani ukilinganisha na wale walio unga moja kwa moja.
 
4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali
Kwa uelewa wangu wa ccm inavyojiendesha Hivi sasa huyu bwana wameishamuundia ZENGWE la fitina kiasi kwamba Jina lake haliwezi kuvuka Kwenye sekretariat ya hicho chama. Kwenye secretariat ndiko waliko watekelezaji wa MAZENGWE; watasema kwa kuweka hiyo clip amevunja kanuni zao za kuanza kampeni kabla ya muda wake!!! Na wengi waliochukua form akiwemo Msukuma ,wasiojua wataangukia kwenye hiyo fitina. Huoni wazoefu wakina Zungu na Chenge wamekaa kimya hawajasema lolote!!!
 
Huyu Prof.hajachanganyikiwa,
Anasoma hivo anatafuta nin? Nchi isiyothamini Tafiti
huyu mzee nondo zimemchanganya.ana vitu vingi mpaka vinampotezea mwelekeo.muda wake mwingi ameutumia kusoma so amefikia kwenye climax.
 
Kama alivyosema ndiyo anataka akafanye mageuzi eneo la spika ni sawa na wale wanaouliza chadema mmwlifanyia nini taifa wakati madarakani wapo ccm

Sawa,, acha tuone kama chama chake kitampa nafasi
 
Angesema atawagawia wabunge ubwabwa,angezoa kura zote.Kama na yeye ni m-CCM,hana jipya atakaloleta.Umpire oyeeee!
 
Back
Top Bottom