Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Huyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.

1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa.

2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo.

3. Ana line za simu za mkononi saba.

4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali

Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
Wewe utakuwa mgombea mwenza umekuja na hoja dhohofu
 
Prof mpoki yuko vizuri sio viwango vyako mkuu!

Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.

BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada

Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.
 
Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee.

Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma hivyo amechukua fomu ili kuhitimisha utamaduni huo.

View attachment 2077354
Huyu Prof Mpoki anaonekana yuko vizuri anafaa! Tatizo ni SIYO MMBUNGE WA CHAMA CHOCHOTE WALA KUTEULIWA. This disqualifies him automatically!
Sasa mtu una Degrees 9 ulikuwa wapi Kugombea Ubunge Prof???
 
Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.

BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada

Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.

Umemfanyia uchunguzi wa kufa mtu ama unaleta wivu tu.

Spika anaongozwa na kanuni tu,hakuna kitukipya kutoka mbinguni pale.
 
Nafuu kijana aliyehitimu VETA anachonga majiko ya mkaa wa nishati jadidifu kuliko huyu mwenye magirii 9 na hayajamfikisha popote
Na wewe acha wivu wa kike!! Hivi darasa la 7 VETA unamlinganisha na Prof. mwene degrees 9?? Wewe ndo type ya Wabunge darasa la 7 kina Msukuma na Kibajaji walioko Bungeni kwa bakhti halafu wana watukana maprofesa. Non- sense!
 
Ulitaka yamfikishe wapi bwana wivu
Wivu wa kazi gani na mi PhD ya online?? Ingekuwa na tija angekuwa angalau Vice Chancellor wa chuo kikuu chochote. Lakini waajiri wake wanajuwa ni bogus ndiyo maana hana portifoli yeyote ya maana
 
Kuna watu mna wivu wa kihanisi kweli unamfahamu vizuri huyo prof au unaongea tu kama una mimba changa
Uprofesa unadhani ni sawa na kuwa na matako? Uprofesa ni kisomo kutoka kwenye credible university, machapisho na utafiti.

Sasa nimuonee wivu huyu mgonjwa wa kusoma ili iweje?
 
Na wewe acha wivu wa kike!! Hivi darasa la 7 VETA unamlinganisha na Prof. mwene degrees 9?? Wewe ndo type ya Wabunge darasa la 7 kina Msukuma na Kibajaji walioko Bungeni kwa bakhti halafu wana watukana maprofesa. Non- sense!
Mnashabikia uchuro ambayo hamuujui. Hakuna kitu hapo! PhD moja ni miaka 5, Masters moja miaka 2 na Bachelor moja miaka 3.

Ukijumlisha utakuta ana miaka 15 ya PhD, 8 ya Masters na 6 ya Bachelor. Jumla ni miaka 29. Lini alisoma na lini alifanya kazi? Na je anatumikaje
 
Wivu wa kazi gani na mi PhD ya online?? Ingekuwa na tija angekuwa angalau Vice Chancellor wa chuo kikuu chochote. Lakini waajiri wake wanajuwa ni bogus ndiyo maana hana portifoli yeyote ya maana
Mkuu una wivu wa mke mwenza! Utafikiri bwanaako leo zamu ya nyumba ndogo😀😀
 
Mnashabikia uchuro ambayo hamuujui. Hakuna kitu hapo! PhD moja ni miaka 5, Masters moja miaka 2 na Bachelor moja miaka 3.

Ukijumlisha utakuta ana miaka 15 ya PhD, 8 ya Masters na 6 ya Bachelor. Jumla ni miaka 29. Lini alisoma na lini alifanya kazi? Na je anatumikaje
Jf kuna wajuaji ambao hawajui kama hawajui wewe ni empty headed!
 
Back
Top Bottom