Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Huo ni wivu wa makalio wazi wa mtu mweusiAna nini sasa huyu cha kujivunia? Mavyeti yasiyo na muunganiko sawa na makaratasi tu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ni wivu wa makalio wazi wa mtu mweusiAna nini sasa huyu cha kujivunia? Mavyeti yasiyo na muunganiko sawa na makaratasi tu
Hakika ukimsikiliza vizuriInaonyesha anakitu
Wewe utakuwa mgombea mwenza umekuja na hoja dhohofuHuyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.
1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa.
2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo.
3. Ana line za simu za mkononi saba.
4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali
Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
Wewe utakuwa mgombea mwenza umekuja na hoja dhohofu
Nafuu kijana aliyehitimu VETA anachonga majiko ya mkaa wa nishati jadidifu kuliko huyu mwenye magirii 9 na hayajamfikisha popoteWeka hapa jamvini yakwako yenye mpangilio!
Alichoongea ni kweli hizo nchi unapotunukiwa hizo shahada unavaa visketi flani vya drafti hivi!Dk 0:43 anasema alivaa sketi alipo graduate Glasgow Scotland hivyo hatufai
Prof mpoki yuko vizuri sio viwango vyako mkuu!Uko sawa na huyu Prof naona
Ulitaka yamfikishe wapi bwana wivuNafuu kijana aliyehitimu VETA anachonga majiko ya mkaa wa nishati jadidifu kuliko huyu mwenye magirii 9 na hayajamfikisha popote
Kuna watu mna wivu wa kihanisi kweli unamfahamu vizuri huyo prof au unaongea tu kama una mimba changaNafuu kijana aliyehitimu VETA anachonga majiko ya mkaa wa nishati jadidifu kuliko huyu mwenye magirii 9 na hayajamfikisha popote
Prof mpoki yuko vizuri sio viwango vyako mkuu!
Huyu Prof Mpoki anaonekana yuko vizuri anafaa! Tatizo ni SIYO MMBUNGE WA CHAMA CHOCHOTE WALA KUTEULIWA. This disqualifies him automatically!Prof Mpoki Mafwega amechukua fomu ya kugombea Uspika wa bunge na kuahidi atashinda na kuweka historia mpya nchini kwani bunge siyo kwa ajili ya wanasiasa pekee.
Prof Mpoki amesema tokea mwaka 1954 wakati wa mkoloni hapajawahi kuwa na Spika wa bunge aliyetoka kwenye sekta ya Utumishi wa umma hivyo amechukua fomu ili kuhitimisha utamaduni huo.
View attachment 2077354
Unajuwa level yangu? Sijasoma kama yeye lakini I have two clean degrees.
BA - Economics Strathmore University Nairobi Kenya
MA - Economics and Financial Engineering - Western Ontario University Canada
Niliajiriwa kwa miaka 10 tu katika private sector and I retired at the age of 35, am now 48 with my consulting firm.
Sitegemei kugombea nafasi yoyote ya kisiasa though I have strong connections, access and ability if I need to fight for any political position.
OK. Katika haya madegrees yote amewahi kugundua au kutengeza chochote kuisaidia nchi au dunia katika kutatua changamoto zinazowakabili wanadamu?
Na wewe acha wivu wa kike!! Hivi darasa la 7 VETA unamlinganisha na Prof. mwene degrees 9?? Wewe ndo type ya Wabunge darasa la 7 kina Msukuma na Kibajaji walioko Bungeni kwa bakhti halafu wana watukana maprofesa. Non- sense!Nafuu kijana aliyehitimu VETA anachonga majiko ya mkaa wa nishati jadidifu kuliko huyu mwenye magirii 9 na hayajamfikisha popote
Wivu wa kazi gani na mi PhD ya online?? Ingekuwa na tija angekuwa angalau Vice Chancellor wa chuo kikuu chochote. Lakini waajiri wake wanajuwa ni bogus ndiyo maana hana portifoli yeyote ya maanaUlitaka yamfikishe wapi bwana wivu
Uprofesa unadhani ni sawa na kuwa na matako? Uprofesa ni kisomo kutoka kwenye credible university, machapisho na utafiti.Kuna watu mna wivu wa kihanisi kweli unamfahamu vizuri huyo prof au unaongea tu kama una mimba changa
Mnashabikia uchuro ambayo hamuujui. Hakuna kitu hapo! PhD moja ni miaka 5, Masters moja miaka 2 na Bachelor moja miaka 3.Na wewe acha wivu wa kike!! Hivi darasa la 7 VETA unamlinganisha na Prof. mwene degrees 9?? Wewe ndo type ya Wabunge darasa la 7 kina Msukuma na Kibajaji walioko Bungeni kwa bakhti halafu wana watukana maprofesa. Non- sense!
Mkuu una wivu wa mke mwenza! Utafikiri bwanaako leo zamu ya nyumba ndogo😀😀Wivu wa kazi gani na mi PhD ya online?? Ingekuwa na tija angekuwa angalau Vice Chancellor wa chuo kikuu chochote. Lakini waajiri wake wanajuwa ni bogus ndiyo maana hana portifoli yeyote ya maana
Jf kuna wajuaji ambao hawajui kama hawajui wewe ni empty headed!Mnashabikia uchuro ambayo hamuujui. Hakuna kitu hapo! PhD moja ni miaka 5, Masters moja miaka 2 na Bachelor moja miaka 3.
Ukijumlisha utakuta ana miaka 15 ya PhD, 8 ya Masters na 6 ya Bachelor. Jumla ni miaka 29. Lini alisoma na lini alifanya kazi? Na je anatumikaje