Kufa c mwiko
JF-Expert Member
- May 26, 2013
- 752
- 320
Mbona kawaida sana unamkumbuka Bob makani?Digrii za Zoom hizo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kawaida sana unamkumbuka Bob makani?Digrii za Zoom hizo
Labda kwa chuki zako binafsi huwezi mfananisha prof mafwenga na tulia au ndugaiPsychopathy person huyu hafai kuwa hata mwenyekiti wa baraza la madiwani
Mjinga tu . Degree 9 si awe mshauri wa serikali kiuchumi au chochote kulingana na elimu zake!
Hasa kama unapenda totozKuna watu wanapenda sana shule daah
Labda kwa chuki zako binafsi huwezi mfananisha prof mafwenga na tulia au ndugai
kiufupi jamaa ni dokta shika aliyechangamka. mda utaongea.Huyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.
1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa
2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo
3. Ana line za simu za mkononi saba.
4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali
Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
Kwan u empty headed wa mtu unapimwa kwa kukaa darasan na kukalili hayo mashikolo yaliyo andikwa kingereza ? Ujinga huu? Unaweza kukuta msukuma akawa na reasoning nzuri na yenye mashiko kuliko hao mabingwa wa kukalili maandushi ya kwenye makaratasi.Kwa hiyo tunataka spika empty headed Kama msukuma na tulia
kiufupi jamaa ni dokta shika aliyechangamka. mda utaongea.
soon waandishi wa online media wataanza kumiminika kwake kwenda kumuhoji, hapo ndio ule udokta shika wake utakapojidhihirisha.
tatizo sio sisi, tatizo ni ccm. ccm haitaki watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya kielimu, kushika nafasi nyeti.Ha ha ha! Mpeni kabisa huyu, kabla umshawishi kwa hoja bungeni itakua shughuli.
Kwan u empty headed wa mtu unapimwa kwa kukaa darasan na kukalili hayo mashikolo yaliyo andikwa kingereza ? Ujinga huu? Unaweza kukuta msukuma akawa na reasoning nzuri na yenye mashiko kuliko hao mabingwa wa kukalili maandushi ya kwenye makaratasi.
Uwezo wa akili wa mtu haupimwi kwa jambo moja tu la kuweza kukaa darasani na kukaririshwa madude ya watu wengine, kuna vitu vingi sana vinavyo pima uwezo wa mtu kiakili hata kana hakukaa darasani kujifunza hayo makorokocho
Hata jalalani hawataweza kumchukua maana hazielewek undergraduate alisomaga nn sijui Advanced Diploma my foot! Digrii you za Zoom shidaaHuyu aende kula jalalani anaongea kama typical academician eti sijui research, anafikiri kina Babu Tale, Msukuma na Kibajaji wana muda na research🐒View attachment 2077408
Kwani ukiwa spika uwezi kuishauri serikali mbona una jazba mpaka unacoment kisichoeleweka?!Mjinga tu . Degree 9 si awe mshauri wa serikali kiuchumi au chochote kulingana na elimu zake!
Yaani Africa tulidanganywa sana, mwenye elimu ndiyo masikini na ana akili za mgando na asiye soma ndiyo mwenye akili kubwa na uchumi wa kueleweka
Degree 9 anatafuta uspika!! Aisee
Ngoja nitafute research na vitabu vyake huyu mwamba.Kuna watu wanapenda sana shule daah