Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Profesa Handlay Mwafwenga mwenye digrii Tisa achukua fomu ya Uspika wa Bunge. Anena mazito

Degree zote hizo uhakika wa maisha upo kwenye siasa
 
Sitaki kuongeza chochote hebu msikilizeni wenyewe

View attachment 2077354
Mjinga tu . Degree 9 si awe mshauri wa serikali kiuchumi au chochote kulingana na elimu zake!

Yaani Africa tulidanganywa sana, mwenye elimu ndiyo masikini na ana akili za mgando na asiye soma ndiyo mwenye akili kubwa na uchumi wa kueleweka

Degree 9 anatafuta uspika!! Aisee
 
Labda kwa chuki zako binafsi huwezi mfananisha prof mafwenga na tulia au ndugai

Huyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.

1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa.

2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo.

3. Ana line za simu za mkononi saba.

4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali

Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
 
Huyu mtu mimi simfahamu kabisa ila kuna vitu vinne nimeangalia anaonekana kabisa ana shida somewhere.

1. Kitendo cha kuorodhesha degree zote kwenye business card na yeye kuona ni sawa
2. Cheo chake kwenye utumishi wa umma hakijawahi kuwepo
3. Ana line za simu za mkononi saba.
4. Video clip yake kushawishi achaguliwe kuwa Speaker wa Bunge la JMT ambalo baadhi yakazi zake ni kutunga sheria na kusimamia Serikali

Kwa mtu mwenye akili ukifanya tathmini ya kawaida sana utagundua kichwa chake hakiko sawa kuongoza hata kikao cha sendoff party
kiufupi jamaa ni dokta shika aliyechangamka. mda utaongea.

soon waandishi wa online media wataanza kumiminika kwake kwenda kumuhoji, hapo ndio ule udokta shika wake utakapojidhihirisha.
 
Kwa hiyo tunataka spika empty headed Kama msukuma na tulia
Kwan u empty headed wa mtu unapimwa kwa kukaa darasan na kukalili hayo mashikolo yaliyo andikwa kingereza ? Ujinga huu? Unaweza kukuta msukuma akawa na reasoning nzuri na yenye mashiko kuliko hao mabingwa wa kukalili maandushi ya kwenye makaratasi.

Uwezo wa akili wa mtu haupimwi kwa jambo moja tu la kuweza kukaa darasani na kukaririshwa madude ya watu wengine, kuna vitu vingi sana vinavyo pima uwezo wa mtu kiakili hata kana hakukaa darasani kujifunza hayo makorokocho
 
kiufupi jamaa ni dokta shika aliyechangamka. mda utaongea.

soon waandishi wa online media wataanza kumiminika kwake kwenda kumuhoji, hapo ndio ule udokta shika wake utakapojidhihirisha.

Kabisa, kifupi wala hatakiwi kujadiliwa katika hiyo nafasi
 
Ha ha ha! Mpeni kabisa huyu, kabla umshawishi kwa hoja bungeni itakua shughuli.
tatizo sio sisi, tatizo ni ccm. ccm haitaki watu wenye uelewa mkubwa wa masuala ya kielimu, kushika nafasi nyeti.
 
Kwan u empty headed wa mtu unapimwa kwa kukaa darasan na kukalili hayo mashikolo yaliyo andikwa kingereza ? Ujinga huu? Unaweza kukuta msukuma akawa na reasoning nzuri na yenye mashiko kuliko hao mabingwa wa kukalili maandushi ya kwenye makaratasi.

Uwezo wa akili wa mtu haupimwi kwa jambo moja tu la kuweza kukaa darasani na kukaririshwa madude ya watu wengine, kuna vitu vingi sana vinavyo pima uwezo wa mtu kiakili hata kana hakukaa darasani kujifunza hayo makorokocho

Mtu yoyote anaedhani huyu jamaa anafaa kuwa Speaker basi ana matatizo ya akili
 
Mimi naona hafai hata kua Mkurugenzi wa Wilaya. Anavyotumia ngumi kuonyesha msisitizo, anavyotaja elimu yake mara nyingi huyu hafai.

Hajasema kazi anayofanya ila nahisi ni mwalimu wa chuoni, a type of lecturer ambaye anaona yeye kasoma mazingira magumu kwahiyo inabidi na nyinyi mpitie msoto.
 
Anyway afanyiwe due dilligence ya hizo degree. Degree miaka 3 mpaka 4 assuming ni 3 na zipo 9 hiyo ni miaka 27. Jumlisha na hizo certificates, undergraduate na post graduate vifanananishwe na umri.

Natamani kusikia imefanyika due dilligence
 
Sitaki kuongeza chochote hebu msikilizeni wenyewe

View attachment 2077354

Hakuna maajabu yoyote atafanya
Hii nchi bado maskini sana, bado wala rushwa ni wengi, watu waroho ni wengi sana serikalini na kwenye jamii ya mtaani.

Usomi wake utapotea jumla atakapoingia kwenye hiyo nafasi, hataweza kufikiri kama mtu huru na msomi.
Mfumo utamfanya awaabudu watu wengine ili awe salama na maisha yake yaende
 
Mjinga tu . Degree 9 si awe mshauri wa serikali kiuchumi au chochote kulingana na elimu zake!

Yaani Africa tulidanganywa sana, mwenye elimu ndiyo masikini na ana akili za mgando na asiye soma ndiyo mwenye akili kubwa na uchumi wa kueleweka

Degree 9 anatafuta uspika!! Aisee
Kwani ukiwa spika uwezi kuishauri serikali mbona una jazba mpaka unacoment kisichoeleweka?!
 
Back
Top Bottom