TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

TANZIA Profesa Handley Mafwenga, Mtanzania mwenye shahada 9 afariki dunia

Asante mkuu
Kumbe kusoma sana ni uoga wa maisha...

Marehemu mwenyewe alikua anaji Ita multi_sector

Mpk akagombea uspika wa bunge la Jmt

Sawa mkuu kumbe kusoma sana ni sifa za kijinga..
Pamoja na degree zako 2 kitu gani umekubuni cha kuikomboa dunia?? I mean kutatua everyday changamoto??
 
[emoji3526][emoji3526][emoji4][emoji28][emoji28][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Watu kama nyinyi hamkosekanagi katika jamii yaani nimecheka sanaa [emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji1787][emoji1787]
Melo akisema anapenda kusoma tutamwelewa maana Jay Efu inafanya yake!!

Obviously wewe ni wale unga unga mwana!! Elimu yako ni full super glue!! Degree kwa maisha ya sasa yenye AI inaitajika kwenye mambo machache!!


Usikute unasoma procurement?? Swine
 
Melo akisema anapenda kusoma tutamwelewa maana Jay Efu inafanya yake!!

Obviously wewe ni wale unga unga mwana!! Elimu yako ni full super glue!! Degree kwa maisha ya sasa yenye AI inaitajika kwenye mambo machache!!


Usikute unasoma procurement?? Swine
IF YOU USE THIS ENERGY FOR YOUR LIFE, THEN YOU WILL NOT BE BEGGING FOR FOOD
 
Rest In Peace classmate
Aisee na mimi alikuwa classmate wangu kwenye moja ya degree zake.Ila alikuwa mtu wa kusaidia sana watu nakumbuka nilikwama kitu moja ya wizari uwezi amini within a day alinisaidia kukamilishwa kwa maombi yangu kwenye hiyo wizara bila jasho.RIP my friend.
 
Degree saba halafu alikuwa hajui anaugua figo
Hakuwahi kusomea bailojia (biology) ya mwili wa mtu au udaktari wa magonjwa ya binadamu. Kusoma si kujua kila kitu, yeye alikuwa mtaalamu wa masuala ya fedha, kodi na sheria zinazohusiana na fedha na kodi.
 

Aliyekuwa Afisa Usimamizi wa Fedha Mkuu Daraja la Kwanza wa Kitengo cha Ubia kati ya Sekta ya Umma na Sekta Binafsi (PPP), Profesa Handely Mwafwenga amefariki dunia usiku wa kuamkia leo.

Mwafwenga aliyekuwa na elimu ya digrii saba na shahada tatu za uzamivu (PhD) amefariki dunia usiku wa kuamkia leo 19, 2023, wakati akipatiwa matibabu ya figo katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili, Dar es Salaam.

Taarifa za kifo chake zimethibitishwa na familia yake kupitia kwa mdogo wake, Innocent Mwafwenga ameeleza kuwa Profesa Handely ambaye ni kaka yake alifariki majira ya saa saba usiku.

“Jana alikuwa amezidiwa ghafla na alipelekwa jengo la wagonjwa mahututi (ICU) na tulipoenda asubuhi ya leo tumemkuta ameshafariki,”amesema Innocent.

Innocent amesema Profesa Mwafwenga kwa muda mrefu alikuwa anasumbuliwa na tatizo hilo japo haikufahamika lakini baada ya kupima ikabainika kwamba anachangamoto ya figo.

“Mwanzoni alikuwa hajagundulika alikuwa anaumwa lakini tulikuwa hatujui kama ni figo lakini baadaye baada ya kupima ikagundulika na figo na alianza kudhohofika kwa kipindi kama cha mwaka mmoja hivi,”amesema.

Innocent amesema kwa kipindi cha nyuma muda mwingi alikuwa analalamika matatizo ya mgongo lakini baada ya kuona tatizo hilo linazidi ndipo alipenda hospitali na kubainika anatatizo hilo.

Hata hivyo, Wizara ya Fedha kupitia kwa Katibu Mkuu, Dk Natu Mwamba imetoa pole kwa watumishi, ndugu, jamaa na marafiki wa marehemu kwa msiba huo.

Innocent amebainisha kuwa Profesa Mwafwenga aliyewai kuwa kada wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) ameacha familia ya watu wa tano, mke na watoto wa nne.

“Watoto wake wote ni wakubwa kuna ambao wameshamaliza elimu ngazi ya vyuo na kuna baadhi wapo kazini,”amesema.

Kuhusu msiba, amesema unafanyika nyumbani kwake Mabwepande na keshokutwa wataanza safari kuelekea Tukuyu mkoani Mbeya kwa maziko.

Apumzike kwa Amani 😭
 
You need more 98° to normalize your normality!! Kilaza full options!!
The audience will assume you’re a pair if you debate with a stupid one..........

Huwezi battle na Mimi in anything kuendeleza mabishano na wewe ni sawa na Mimi kurusha mawe juu ya mayai.....

Am Out.
 
Back
Top Bottom