binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 11,201
- 28,642
Yes yes…..Simfahamu, na yeye ni MD?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yes yes…..Simfahamu, na yeye ni MD?
Samahani mkuu, Makao Makuu imekukosea nini aiseeeh'.?Tungoje Waje Maana Dar Es Salaam Na Ndugu Yake Dodoma Kuna Mambo Sana
Yaan huyo yeye KAZI yake nikuchimba mkwara wananchi. Utaskia tusile kuku,bata, ng'ombe,mbuzi,kitimoto,zege,mtori,pweza, chapati, wali etc. Ni hatari kwa moyoKwanini kawa famous? Ama ndo anajimix na sisiem?
Aaah wewe ndio umekwisha kabisa ukimsikia anaongelea pespi na fanta unaweza kuhisi umeshaoza tumboni mwako..Anasemaje kuhusu pepsi na fanta orange!? Na hili jua nazipeleka balaa 🙆
Dah sema anaenjoy tu halafu sisi ni kutupiga mkwaraYes yes…..
🤣🤣🤣Huyo dokta naona sasa anataka kuvuka mipaka.....ajichanganye kwa sisi team kitimoto
Naona Dada hapo Pichani kategesha kabisa Bomu lake kwenye Kitufe Tukuka cha Profesa ili Lilipuliwe / Alilipue.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Aaah wewe ndio umekwisha kabisa ukimsikia anaongelea pespi na fanta unaweza kuhisi umeshaoza tumboni mwako..
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe?Yule mzee anatupanga sana kwenye misosi na pombe. Nilionana naye harusi moja hata hazingatii yale anayotuambiaga
😂😂😂 huu uzi ungekupata uko available Certified Hater kama nakuona ambavyo ungetunanga wala takataka..Yaan huyo yeye KAZI yake nikuchimba mkwara wananchi. Utaskia tusile kuku,bata, ng'ombe,mbuzi,kitimoto,zege,mtori,pweza, chapati, wali etc. Ni hatari kwa moyo
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Naona Dada hapo Pichani kategesha kabisa Bomu lake kwenye Kitufe Tukuka cha Profesa ili Lilipuliwe / Alilipue.
😂😂 Nakosaje kupajua? Haha tuendelee kubaki huku huku ma bush, mjini tutavurugika.Mimi bwana wa Itigi. Unapajua? 😂
Kabisa mkuu, yaan nilishangaa siku moja nipo kwenye sherehe fulani eti mdada mmoja kwenye Kula kuku anambandua ngozi kwanza aisee nilishangaa sana[emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ungekupata uko available Certified Hater kama nakuona ambavyo ungetunanga wala takataka..
Mkuu Don kuna watu wako veryyy careful na masuala ya vyakula. Wanabagua mpk wanabagua tena.
Ila kuna sisi hapa, ambacho hatuli ni sumu tu, tunajipa hope kwamba we are all dying.
Nilikuwa na wanangu fulani hivi tumechafua meza tukasema kumbe Prof anasemaga tu mbele ya camera 🤣[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kumbe?
Sio dada, Ni mkeweNaona Dada hapo Pichani kategesha kabisa Bomu lake kwenye Kitufe Tukuka cha Profesa ili Lilipuliwe / Alilipue.
Ungemuulizq vzuri ana elimu gani na kaipata wapi😅Kabisa mkuu, yaan nilishangaa siku moja nipo kwenye sherehe fulani eti mdada mmoja kwenye Kula kuku anambandua ngozi kwanza aisee nilishangaa sana
Nakwambia mtamzika huyo Mtu wenu aliekonda kama kagame