Profesa Janabi apuuzwe!

Profesa Janabi apuuzwe!

Yaan huyo yeye KAZI yake nikuchimba mkwara wananchi. Utaskia tusile kuku,bata, ng'ombe,mbuzi,kitimoto,zege,mtori,pweza, chapati, wali etc. Ni hatari kwa moyo
😂😂😂 huu uzi ungekupata uko available Certified Hater kama nakuona ambavyo ungetunanga wala takataka..

Mkuu Don kuna watu wako veryyy careful na masuala ya vyakula. Wanabagua mpk wanabagua tena.

Ila kuna sisi hapa, ambacho hatuli ni sumu tu, tunajipa hope kwamba we are all dying.
 
[emoji23][emoji23][emoji23] huu uzi ungekupata uko available Certified Hater kama nakuona ambavyo ungetunanga wala takataka..

Mkuu Don kuna watu wako veryyy careful na masuala ya vyakula. Wanabagua mpk wanabagua tena.

Ila kuna sisi hapa, ambacho hatuli ni sumu tu, tunajipa hope kwamba we are all dying.
Kabisa mkuu, yaan nilishangaa siku moja nipo kwenye sherehe fulani eti mdada mmoja kwenye Kula kuku anambandua ngozi kwanza aisee nilishangaa sana
 
Back
Top Bottom