Carleen
JF-Expert Member
- Nov 6, 2018
- 7,982
- 27,272
Hujaipata maana yangu rafiki yangu,Kwani Mkuu Umeleewa Nini Hapo Ama Wapi Nimesema Imenikosea
It was just a joking ulivyosema 'kuna mambo sana', relax budaa..!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hujaipata maana yangu rafiki yangu,Kwani Mkuu Umeleewa Nini Hapo Ama Wapi Nimesema Imenikosea
Achana na vilazza, wana wivu kuona kakumbatia tuUteuzi gani mwingine? Prof Janabi alikuwa Daktari binafsi wa Marais Wawili. Akawa Mkurugenzi wa Jakata Kikwete Cardiac Center na sasa ni Mkurugenzi wa National Hospital, Muhimbili. Atake uteuzi gani mwingine zaidi? Hakuna!.
Lakini, kama angehitaji uteuzi basi angejikita kuwa chawa wa Rais na serikali pamoja na Chama husika.
Soda ina madhara umeichukia? Sigara ni hatari umeichukia? Pombe ina athari kubwa sana kiafya, huoni wanywaji?Chenye madhara inabidi ukichukie wewe mwenyewe sio Hadi uambiwe,,,na huwezi ukapenda chenye madhara utakuwa na matatizo ya akili au hujitambau kisawasawa.
Haa Itabidi Mwakani Tukiuona Ufike Upanga Ilipo Muhimbili Uonane Na JanabiHujaipata maana yangu rafiki yangu,
It was just a joking ulivyosema 'kuna mambo sana', relax budaa..!
Jinsi ambavyo naenda kinyume na mafundisho yake sitakuwa na guts za kumface..Haa Itabidi Mwakani Tukiuona Ufike Upanga Ilipo Muhimbili Uonane Na Janabi
Unapenda Sana Sukari, Na Chumvi Sasa Moyo Wako Kweli Umeshindwa KutembeA Kwa Miguu Hatua 1000Jinsi ambavyo naenda kinyume na mafundisho yake sitakuwa na guts za kumface..
Hawajitambui,,unapendaje chenye madhara kwako??Soda ina madhara umeichukia? Sigara ni hatari umeichukia? Pombe ina athari kubwa sana kiafya, huoni wanywaji?
Hao wote wana matatizo ya akili? Hawajitambui?
Naona huelewi unachozungumza.
Hama Njiro unapunjika sana.Mnaishi kwenye isolation sana na mageti 24/7.Jichanganye.Kwanini? Ni daktari wa Nchi na mie mwananchi sijui?
Kujichanganya jf ni shule tosha, ama ni lazima nije kujichanganya Unga Ltd?Hama Njiro unapunjika sana.Mnaishi kwenye isolation sana na mageti 24/7.Jichanganye.
Mkewe huyo Jamani.
YesByanaku?
Vingine vinatengenezwa tu na watu.Kuna memes niliona siku ya Christmas anasema tusile pilau na kachumbari[emoji1787]
Tena sio Unga Ltd tu hamia mtaa unaitwa Cheka Ung'atwe hutajuta.I promise.Kujichanganya jf ni shule tosha, ama ni lazima nije kujichanganya Unga Ltd?
😂😂 hata sijawahi kupasikiaTena sio Unga Ltd tu hamia mtaa unaitwa Cheka Ung'atwe hutajuta.I promise.
Binafsi nampongeza alivyoamua kutumia weledi wake katika afya kutusaidia watanzania.Hatukuwa na wa kutushtua kuhusu afya zetu.Taasisi ya chakula na lishe ipo lakini nadhani tangu ianze hawakujua vizuri wanatakiwa kusimamia nini au wapi (pengine ndio maana wapo kwenye list ya kufutwa).Hivyo prof amejitahidi kutusaidia na kwa hili ametutendea wema sana Mungu ambariki.Anataka wanaomsililiza wawe wembamba kama yeye!