Profesa Janabi apuuzwe!

Profesa Janabi apuuzwe!

Uteuzi gani mwingine? Prof Janabi alikuwa Daktari binafsi wa Marais Wawili. Akawa Mkurugenzi wa Jakata Kikwete Cardiac Center na sasa ni Mkurugenzi wa National Hospital, Muhimbili. Atake uteuzi gani mwingine zaidi? Hakuna!.

Lakini, kama angehitaji uteuzi basi angejikita kuwa chawa wa Rais na serikali pamoja na Chama husika.
Achana na vilazza, wana wivu kuona kakumbatia tu
 
Chenye madhara inabidi ukichukie wewe mwenyewe sio Hadi uambiwe,,,na huwezi ukapenda chenye madhara utakuwa na matatizo ya akili au hujitambau kisawasawa.
Soda ina madhara umeichukia? Sigara ni hatari umeichukia? Pombe ina athari kubwa sana kiafya, huoni wanywaji?

Hao wote wana matatizo ya akili? Hawajitambui?

Naona huelewi unachozungumza.
 
Soda ina madhara umeichukia? Sigara ni hatari umeichukia? Pombe ina athari kubwa sana kiafya, huoni wanywaji?

Hao wote wana matatizo ya akili? Hawajitambui?

Naona huelewi unachozungumza.
Hawajitambui,,unapendaje chenye madhara kwako??
 
Anataka ulaji kwenye siasa huyo hana lolote
Kama genius aende majuu basi akakutane na watoto madokta wamchanganye
 
Anataka wanaomsililiza wawe wembamba kama yeye!
Binafsi nampongeza alivyoamua kutumia weledi wake katika afya kutusaidia watanzania.Hatukuwa na wa kutushtua kuhusu afya zetu.Taasisi ya chakula na lishe ipo lakini nadhani tangu ianze hawakujua vizuri wanatakiwa kusimamia nini au wapi (pengine ndio maana wapo kwenye list ya kufutwa).Hivyo prof amejitahidi kutusaidia na kwa hili ametutendea wema sana Mungu ambariki.
Nyie mnaombeza hamjaumwa au hamjakutana na wagonjwa wa BP,Sukari,figo kufeli sijui nk. Prof ana hoja asikilizwe
Elimu ya chakula ni muhimu, huna elimu utapuyanga. Nenda iringa kwanini inaongoza kwa udumavu akati watu ni hardworkers?Hardworkers wa kulima mahindi na maharage,vipi kula balanced diet!?Shida.Mahindi hadi yanaondolewa kiini watu wanasema huo ndio ugali mzuri nk nk
Sawa;watz enzi za mwalimu sukari, mchele na vinginevyo ilikuwa shida.Sasa vipo tunafakamia, mwenzetu anatuelimisha kwa faida yetu.Ana hoja
 
Back
Top Bottom